sawaka
JF-Expert Member
- Jul 25, 2014
- 201
- 31
Afai na ubabe wake. akiwa rais haya ndo tutashuhudia
1. utawala wa mkapa utarud kwa mlango wa nyuma
2. mauaji ya wakulima na na wafugaji. wadukuma
wamezagaa kote nchini.msukuma awe raid nchi itakuwa jangwa kama mz na shy. nyumba za serkali ataziuza zilizobaki
acha ukabila....the guy is good ukolinganisha na hao wengine