John kwenye appointment

John kwenye appointment

jrmlaurence

Member
Joined
Dec 2, 2010
Posts
80
Reaction score
57
John katika kipindi cha likizo alikuwa akikutana na jane tuition, kama wanafunzi walivyo John akawa anasomesha mtoto lakini jane akawa anamzungusha. Siku ya siku Jane akamkubalia John lakini mambo ya mechi yatafanyika kwakina Jane Sab10 jion. Mda kufika John akawa kwakina jane, gafla baba yake jane kafungua Mlango.
Baba: Nikusaidie nini kijana
John: Samahani mzee Shikamoo, Nimekuja kuazima kitabu kwa jane tunasoma nae.
Baba: Jane njoo haraka kuna mgeni wako.
John: Mambo Jane nimekuja kuazima kile kitabu cha literature ''is it possible today''
Jane: Hiko sina ninacho kile cha '' This time tomorrow'' ni kizuri sana
Baba: Ha ha ha watoto wasiku hizi safi sana mnapenda sana kujisomea vitabu vya kingereza, kijana nakukaribisha sana nyumba kwangu.
 
baba kasomesha mtoto alafu anakuja kuonekana mjinga, 'kweli wema usizi uwezo'
 
Ilikuwa zaman hiyo[/QUOTE]
cku wana2mia mtandao tu kama cell phone na fb nk.
 
daaaaaaaaaaahhh kaka umetisha, is it possible nimemkumbuka LELIONKA.
 
Hao watoto inaonekana wako makini na shule pia,
 
Ooooo asante lakini nilishaeweka last two weeks hapa jamvini! Saafi kama hujaidesa japo umei-modify!!!
 
Aaaah!cyo vibaya,kijana anaonyesha nimjanja,safi i i i i i sana kijana John Muhun,heb jiulze ww unge2mia ujanja gan kwny mazngra ka hyo,syo kusepa kwl?
 
Back
Top Bottom