Mzalendo2015
JF-Expert Member
- Aug 14, 2012
- 7,223
- 9,829
Huyu Heche hopeless kabisa. Amesoma History, lakini hajui chanzo cha Rwanda Genocide!
Wewe unayejua history tuambie nini chanzo cha Rwanda Genocide...!!
Mbona CCM wakati wa Kampeni zenu za Uchaguzi Mkuu na Chaguzi ndogo huwa mnawaambia watu ati wakichagua vyama vya upinzani nchi itakuwa kama Rwanda......!! Hiyo nayo ni historia ya wapi??