John Heche: Wanaotuonea watawajibika tu hata baada ya miaka 10

Mpelekeni mahakamani, Mwigulu ni waziri wa mambo ya ndani lkn kila siku anazunguka na Tesha utazani mdoli wake hajui vilipo vituo vya polisi.
Mh. Heche pole lakini Mungu anakuona!!
 
Wadau
Kauli za hivi karibuni za John Heche ni za kushangaa,kushtuaa, kashfa na zenye kuidhalisha Serikali ya awamu ya 5 yenye malengo ya kuwaletea Watanzania maendeleo. Ni wazi kabisa Mbunge huyu ana lengo baya kabisa la kukwamisha kwa makusudi juhudi za Rais wetu mpendwa JPM.
Naomba sana kwa kuwa amevuka mpaka basi asiachwe hivi hivi aendelee Bali ashughulikiwe mapema kadri inavyowezekana na mamlaka husika
 
"Katibu wetu wa kata kauawa mnaona ni sawa, Tundu Lissu kapigwa risasi mnaona ni sawa, watu wanaonewa mnaona ni sawa, na sisi wengine tuko wenye listi ya kuumizwa".

"Sisi wengine tumeziambia familia zetu, kwamba tukiuawa, hata kama ni miaka kumi, watu waliotufanyia unyama, familia zao lazima ziwajibike. Hili lazima likae kwenye rekodi". John Heche.

Si anajifanya yeye eti "vita ni vita", sasa analia lia nini. Anataka kuuawa? Eti "tumeziambia familia zetu kwamba tukiuawa..." Nani atajishughulisha kukaua kajitu kama hako?
 
Hapangiwiiii
Hata fomu alichukua mwenyewe
Usiwafundishe kazi
Tulia wewe
 
Mtawajibika tu hata kama ni watoto wenu lazima wayalipie matendo yenu.
Wengi wanajifanya hawaelewi Heche kamaanisha nini kwani watu ukianza kugusia usalama wa watoto wao hofu inaingia.
Lakini amini nawaambia hicho ndio kitakachofuata.
Hivi siku wakisikia hao wanaotajwa kuhusika na mauaji, utekaji na kushambulia watu familia zao zimevamiwa na kuchinjwa kama kisasi wengine wataendelea kufanya ujinga wafanyao? Kila mtu ana uchungu kwa nduguye, hivyo tuwaulize kina Mwigulu jee mnapenda visasi hivi vitokee majumbani kwenu?
 
Wewe nae unaishi Nchi gani!? Kwa hiyo kauli za Musiba zinapaswa kupongezwa na kupewa tuzo?
 
Si anajifanya yeye eti "vita ni vita", sasa analia lia nini. Anataka kuuawa? Eti "tumeziambia familia zetu kwamba tukiuawa..." Nani atajishughulisha kuua kajitu kama hako?
Tunajua nyie huwa mnawashughulikia watu kama kina Lissu.
 
Wadau
Kauli za hivi karibuni za John Heche ni za kushangaa,kushtuaa, kashfa na zenye kuidhalisha Serikali ya awamu ya 5 yenye malengo ya kuwaletea Watanzania maendeleo. Ni wazi kabisa Mbunge huyu ana lengo baya kabisa la kukwamisha kwa makusudi juhudi za Rais wetu mpendwa JPM.
Naomba sana kwa kuwa amevuka mpaka basi asiachwe hivi hivi aendelee Bali ashughulikiwe mapema kadri inavyowezekana na mamlaka husika
Kilaza mwengine huyu huku paskali
 
Wengi wanajifanya hawaelewi Heche kamaanisha nini kwani watu ukianza kugusia usalama wa watoto wao hofu inaingia.
Lakini amini nawaambia hicho ndio kitakachofuata.
Hivi siku wakisikia hao wanaotajwa kuhusika na mauaji, utekaji na kushambulia watu familia zao zimevamiwa na kuchinjwa kama kisasi wengine wataendelea kufanya ujinga wafanyao? Kila mtu ana uchungu kwa nduguye, hivyo tuwaulize kina Mwigulu jee mnapenda visasi hivi vitokee majumbani kwenu?
Kwa waliomuelewa Heche lazima wajifikirishe ila kwa wabezaji watabeza.

Rwanda walikuwa wakijiapiza hivi hivi kuwa lazima walipize kisasi na kweli muda ulipofika ukoo mzima ulikuwa unafyekwa.
 
Wadau
Kauli za hivi karibuni za John Heche ni za kushangaa,kushtuaa, kashfa na zenye kuidhalisha Serikali ya awamu ya 5 yenye malengo ya kuwaletea Watanzania maendeleo. Ni wazi kabisa Mbunge huyu ana lengo baya kabisa la kukwamisha kwa makusudi juhudi za Rais wetu mpendwa JPM.
Naomba sana kwa kuwa amevuka mpaka basi asiachwe hivi hivi aendelee Bali ashughulikiwe mapema kadri inavyowezekana na mamlaka husika
Punguza ulevi wa pombe za chattle.Lait mh rais angejua kuna majitu manafiki yanatafuta fursa kama wew alitakiwa amuagize IGP akutie ndani kwa kumfanyia vituko vya rohoni.
 
Tesha mwenyewe amemtaja Heche wewe unasema Mwigulu sasa tukuamini wewe au mwasirika Tesha??
Imekuwaje Polisi hawamsikiliza Tesha na kumpeleka mahakamani Heche?
 
Back
Top Bottom