John Heche: Wanaotuonea watawajibika tu hata baada ya miaka 10

Wadau
Kauli za hivi karibuni za John Heche ni za kushangaa,kushtuaa, kashfa na zenye kuidhalisha Serikali ya awamu ya 5 yenye malengo ya kuwaletea Watanzania maendeleo. Ni wazi kabisa Mbunge huyu ana lengo baya kabisa la kukwamisha kwa makusudi juhudi za Rais wetu mpendwa JPM.
Naomba sana kwa kuwa amevuka mpaka basi asiachwe hivi hivi aendelee Bali ashughulikiwe mapema kadri inavyowezekana na mamlaka husika
Ashughulikiwe kama Lissu?

Yeye kasema ameshaaga familia na kwamba hata mkimuua na nyie lazima mtawajibika hata kwa watoto wenu, na mkurya akijiapiza kulipiza kweli analipiza.
 
"Katibu wetu wa kata kauawa mnaona ni sawa, Tundu Lissu kapigwa risasi mnaona ni sawa, watu wanaonewa mnaona ni sawa, na sisi wengine tuko kwenye listi ya kuumizwa".

"Sisi wengine tumeziambia familia zetu, kwamba tukiuawa, hata kama ni miaka kumi, watu waliotufanyia unyama, familia zao lazima ziwajibike. Hili lazima likae kwenye rekodi". John Heche.

Bila kulipa kisasi hata Mungu atatushangaa ,
 
"Katibu wetu wa kata kauawa mnaona ni sawa, Tundu Lissu kapigwa risasi mnaona ni sawa, watu wanaonewa mnaona ni sawa, na sisi wengine tuko kwenye listi ya kuumizwa".

"Sisi wengine tumeziambia familia zetu, kwamba tukiuawa, hata kama ni miaka kumi, watu waliotufanyia unyama, familia zao lazima ziwajibike. Hili lazima likae kwenye rekodi". John Heche.

I like the KURIA PEOPLE....!!!

Heche ni jembe haogopi mtu, hapepesi macho wala haoni aibu. Hii ni ' makavu live'!! Alichokisema HECHE KITAKAA KWENYE REKODI yaani HANSARD na hizi habari zimfikie John Pombe Joseph Magufuli....!!
Kama leo Jacob Zuma amesimama Kizimbani kwa Ufisadi na Lula Da Silva wa Brazil yuko Jela kifungo cha Miaka 12 kwa Ufisadi baada ya miaka 7 kupita tangu aondoke Ikulu ni swala la muda tu...!!!!Nchi hubadilika, watu hubadilika na upepo kugeuza mwelekeo.....Hapo ndipo mtu anapotamani kuhama nchi kwa maovu aliyowatendea Raia wenzake kwa kufikiri kuwa maadamu ni MTAWALA BASI HAGUSWI NA CHOCHOTE...!!!

Huu ni ukweli, ukweli mtupu na LAZIMA CCM walijue hili...!!!
 
Wadau
Kauli za hivi karibuni za John Heche ni za kushangaa,kushtuaa, kashfa na zenye kuidhalisha Serikali ya awamu ya 5 yenye malengo ya kuwaletea Watanzania maendeleo. Ni wazi kabisa Mbunge huyu ana lengo baya kabisa la kukwamisha kwa makusudi juhudi za Rais wetu mpendwa JPM.
Naomba sana kwa kuwa amevuka mpaka basi asiachwe hivi hivi aendelee Bali ashughulikiwe mapema kadri inavyowezekana na mamlaka husika

You have a Beautiful Family MR.
 
Hizi siasa usanii usanii tu. Tunachojali kwa sasa wasituvurugie amani yetu basi.

Mkubwa mbona kwa sasa unaandamwa sana na upepo wa BAN, kulikoni? Mbiti etini kungwi geni buraza
Watanzania muwapumbavu sana, hivi kweli unaamini kwenye hii nchi kuna amani mpaka dakika hii?
 
Wanacho ni kera ni kuweka visasi,uadui na uzandiki kwenye siasa sielewi niende wapi pande zote ni kero.
Mbaya zaidi kuwahukumu vizazi vijavyo!!
 
"Katibu wetu wa kata kauawa mnaona ni sawa, Tundu Lissu kapigwa risasi mnaona ni sawa, watu wanaonewa mnaona ni sawa, na sisi wengine tuko kwenye listi ya kuumizwa".

"Sisi wengine tumeziambia familia zetu, kwamba tukiuawa, hata kama ni miaka kumi, watu waliotufanyia unyama, familia zao lazima ziwajibike. Hili lazima likae kwenye rekodi". John Heche.

Upuuzi mtupu! Pia asisahau chama cha majizi hata ipite miaka 100, kitaendelea kulaaniwa na waTz kama hakitabadilika kama sasa kilivyo.
 
Chadema wamebadirisha gia angani wameonja Damu Za watu sasa ni mwendo kuhamasisha damudamu tu.
 
"Katibu wetu wa kata kauawa mnaona ni sawa, Tundu Lissu kapigwa risasi mnaona ni sawa, watu wanaonewa mnaona ni sawa, na sisi wengine tuko kwenye listi ya kuumizwa".

"Sisi wengine tumeziambia familia zetu, kwamba tukiuawa, hata kama ni miaka kumi, watu waliotufanyia unyama, familia zao lazima ziwajibike. Hili lazima likae kwenye rekodi". John Heche.

Heche akamweleze hayo maneno yule kijana wa Igunda. Anamjua ni nani.
 
Huna tofauti na condom, alinaye sikia raha mwingine yenyewe inaishia kuchakaa na kutupwa kusikojulikana

Chakaza,
Hata CONDOM ni muhimu pia. Kama mtu anapuuza CONDOM basi akaparamie mwaathrika wa UKIMWI ndipo atakapojua umuhimu wa CONDOM....!! Kila kitu kina umuhimu wake kwa wakti wake na mahali pake...!!
 
Huyu Heche hopeless kabisa. Amesoma History, lakini hajui chanzo cha Rwanda Genocide!
 
Watanzania muwapumbavu sana, hivi kweli unaamini kwenye hii nchi kuna amani mpaka dakika hii?

Jambo la kwanza, mie sio mpumbavu tuweke hilo sawa kwanza.

Pili soma na kuelewa kilichoandikwa kabla ya kunukuu.
 
Chakaza,
Hata CONDOM ni muhimu pia. Kama mtu anapuuza CONDOM basi akaparamie mwaathrika wa UKIMWI ndipo atakapojua umuhimu wa CONDOM....!! Kila kitu kina umuhimu wake kwa wakti wake na mahali pake...!!
Naam, hata huyu ni muhimu kama hiyo condom kwa hao wanaomtuma/mtumia, lakini anaishia kutupwa tuu
 
Ni dhambi kubwa sana mwanaume kulalama kua anaonewa, na hili ndilo tatizo la vijana wengi wa nyakati hizi.
 
Back
Top Bottom