John Heche nakushauri chunga kinywa chako, acha kuitishia mamlaka

zandrano

JF-Expert Member
Joined
Jan 24, 2017
Posts
8,414
Reaction score
9,318
Henche Makamu Mwenyekiti Chadema nakushauri chunga kinywa chako. elewa kuwa hakuna aliye juu ya sheria. wewe, mini wala huyo Lissu hawezi kuwa juu ya sheria. "Sheria ni msumeno".
Elewa kuwa Lissu wewe au genge lenu lote sio wa muhimu kuzidi TAIFA.

Rais anawajibika kusimamia utawala wa Sheria ndio maana Lissu kafikishwa mahakamani.
Rais ameapa kuilonda KATIBA ya NCHI, kamwe hato ruhusu mtu au kikundi cha wahuni wachache kuvuruga utawala wa Sheria.

AMANI ya nchi ni MUHIMU kuliko huyo Lissu kuliko genge lolote lile, tambua kuwa amani na utulivu vitalindwa kwa gharama yoyote ile

Nakushauri tumia uhuru wako wa kutoa maoni bila kuathiri uhuru wa watu/mamlaka. Chunga kinywa chako.
 
Ndo watanzania wapumbavu mlipo kusambaza uoga kwa wapigania haki za raia.
 
Henche Makamu Mwenyekiti Chadema nakushauri chunga kinywa chako. elewa kuwa hakuna aliye juu ya sheria. wewe, mini wala huyo Lissu hawezi kuwa juu ya sheria. "Sheria ni msumeno".
Elewa kuwa Lissu wewe au genge lenu lote sio wa muhimu kuzidi TAIFA.

Rais anawajibika kusimamia utawala wa Sheria ndio maana Lissu kafikishwa mahakamani.
Rais ameapa kuilonda KATIBA ya NCHI, kamwe hato ruhusu mtu au kikundi cha wahuni wachache kuvuruga utawala wa Sheria.

AMANI ya nchi ni MUHIMU kuliko huyo Lissu kuliko genge lolote lile, tambua kuwa amani na utulivu vitalindwa kwa gharama yoyote ile

Nakushauri tumia uhuru wako wa kutoa maoni bila kuathiri uhuru wa watu/mamlaka. Chunga kinywa chako.
Hao unaowasema ndiyo wa kwanza kuvunja Sheria zenyewe. Sikiliza mahakamani wanavyohojiwa mapolisi ndiyo utajua hao walinda Sheria ndiyo wanazivunja.
 
Henche Makamu Mwenyekiti Chadema nakushauri chunga kinywa chako. elewa kuwa hakuna aliye juu ya sheria. wewe, mini wala huyo Lissu hawezi kuwa juu ya sheria. "Sheria ni msumeno".
Elewa kuwa Lissu wewe au genge lenu lote sio wa muhimu kuzidi TAIFA.

Rais anawajibika kusimamia utawala wa Sheria ndio maana Lissu kafikishwa mahakamani.
Rais ameapa kuilonda KATIBA ya NCHI, kamwe hato ruhusu mtu au kikundi cha wahuni wachache kuvuruga utawala wa Sheria.

AMANI ya nchi ni MUHIMU kuliko huyo Lissu kuliko genge lolote lile, tambua kuwa amani na utulivu vitalindwa kwa gharama yoyote ile

Nakushauri tumia uhuru wako wa kutoa maoni bila kuathiri uhuru wa watu/mamlaka. Chunga kinywa chako.
Mjinga wewe. Mbona usimshauri makala aliyetangazia dunia kwamba chadema wanataka kununua viruses vya mpox na ebola? Mpaka leo ulishamuonya MAKALA mara ngapi?
Raisi ameapa kulinda katiba? Yule makala alikuambia viruses vinauzwa wapi hadi leo?
 
Henche Makamu Mwenyekiti Chadema nakushauri chunga kinywa chako. elewa kuwa hakuna aliye juu ya sheria. wewe, mini wala huyo Lissu hawezi kuwa juu ya sheria. "Sheria ni msumeno".
Elewa kuwa Lissu wewe au genge lenu lote sio wa muhimu kuzidi TAIFA.

Rais anawajibika kusimamia utawala wa Sheria ndio maana Lissu kafikishwa mahakamani.
Rais ameapa kuilonda KATIBA ya NCHI, kamwe hato ruhusu mtu au kikundi cha wahuni wachache kuvuruga utawala wa Sheria.

AMANI ya nchi ni MUHIMU kuliko huyo Lissu kuliko genge lolote lile, tambua kuwa amani na utulivu vitalindwa kwa gharama yoyote ile

Nakushauri tumia uhuru wako wa kutoa maoni bila kuathiri uhuru wa watu/mamlaka. Chunga kinywa chako.
Sawa afande wamekusikia
 
Dogo huwage unaweka hata number zko za simu mwishon mwa uzi kama kaka yko Luka mwashwambwa, unaweza ukalamba teuzi
 
Henche Makamu Mwenyekiti Chadema nakushauri chunga kinywa chako. elewa kuwa hakuna aliye juu ya sheria. wewe, mini wala huyo Lissu hawezi kuwa juu ya sheria. "Sheria ni msumeno".
Elewa kuwa Lissu wewe au genge lenu lote sio wa muhimu kuzidi TAIFA.

Rais anawajibika kusimamia utawala wa Sheria ndio maana Lissu kafikishwa mahakamani.
Rais ameapa kuilonda KATIBA ya NCHI, kamwe hato ruhusu mtu au kikundi cha wahuni wachache kuvuruga utawala wa Sheria.

AMANI ya nchi ni MUHIMU kuliko huyo Lissu kuliko genge lolote lile, tambua kuwa amani na utulivu vitalindwa kwa gharama yoyote ile

Nakushauri tumia uhuru wako wa kutoa maoni bila kuathiri uhuru wa watu/mamlaka. Chunga kinywa chako.
Huu wimbo wa amani umekuwa ukiimbwa for a very long time. Mwishowe umegeuka excuse watawala wakibanwa na maswali magumu
 
Kwani na yenyewe inatishika?
 
ili uibe kura za wananchi ama?
 
Mbona we unamtisha, we nani? uvisisiemu? au we mtanzania zaidi yake?
 
Huu wimbo wa amani umekuwa ukiimbwa for a very long time. Mwishowe umegeuka excuse watawala wakibanwa na maswali magumu
Amani bila haki? Ni mwimbo wa machawa na makasuku. Wanaimba amani mchana usiku wanaua watu.
RIP Mzee KIBAO
 
Back
Top Bottom