residentura
JF-Expert Member
- Mar 1, 2017
- 10,087
- 14,700
Basi amethibitisha pasi shaka ule ukweli na uhalisia wa ukilaza wa kupitiliza wa TanPol.ni rpc huyo wa hapo kyela na ni UVCCM damu

Heche alikuomba ushauri?Henche Makamu Mwenyekiti Chadema nakushauri chunga kinywa chako. elewa kuwa hakuna aliye juu ya sheria. wewe, mini wala huyo Lissu hawezi kuwa juu ya sheria. "Sheria ni msumeno".
Elewa kuwa Lissu wewe au genge lenu lote sio wa muhimu kuzidi TAIFA.
Rais anawajibika kusimamia utawala wa Sheria ndio maana Lissu kafikishwa mahakamani.
Rais ameapa kuilonda KATIBA ya NCHI, kamwe hato ruhusu mtu au kikundi cha wahuni wachache kuvuruga utawala wa Sheria.
AMANI ya nchi ni MUHIMU kuliko huyo Lissu kuliko genge lolote lile, tambua kuwa amani na utulivu vitalindwa kwa gharama yoyote ile
Nakushauri tumia uhuru wako wa kutoa maoni bila kuathiri uhuru wa watu/mamlaka. Chunga kinywa chako.
Mwovu hana uwezo wa kutisha watu,raia wanataka haki mmekalia amani amani.Henche Makamu Mwenyekiti Chadema nakushauri chunga kinywa chako. elewa kuwa hakuna aliye juu ya sheria. wewe, mini wala huyo Lissu hawezi kuwa juu ya sheria. "Sheria ni msumeno".
Elewa kuwa Lissu wewe au genge lenu lote sio wa muhimu kuzidi TAIFA.
Rais anawajibika kusimamia utawala wa Sheria ndio maana Lissu kafikishwa mahakamani.
Rais ameapa kuilonda KATIBA ya NCHI, kamwe hato ruhusu mtu au kikundi cha wahuni wachache kuvuruga utawala wa Sheria.
AMANI ya nchi ni MUHIMU kuliko huyo Lissu kuliko genge lolote lile, tambua kuwa amani na utulivu vitalindwa kwa gharama yoyote ile
Nakushauri tumia uhuru wako wa kutoa maoni bila kuathiri uhuru wa watu/mamlaka. Chunga kinywa chako.
Unajua siasa na sheria kuliko Lisu na Heche?Henche Makamu Mwenyekiti Chadema nakushauri chunga kinywa chako. elewa kuwa hakuna aliye juu ya sheria. wewe, mini wala huyo Lissu hawezi kuwa juu ya sheria. "Sheria ni msumeno".