John Heche: Nakupongeza sana Ummy kwa kupiga marufuku MaRC na MaDC hawa

Anaandika Mbunge wa Tarime John Heche.

Nakupongeza sana mh Ummy kwa kupiga marufuku MaRC na MaDC hawa wanaokurupuka kuweka madaktari na manurse ndani kama fashion.

Ni jambo la ajabu kila DC na RC akienda sehemu bila kujali kama kuna vitendea kazi au madawa anaagiza daktari awekwe ndani.

Na hii ni kwenye kila nyanja utaalamu leo ni kama hauheshimiki mwingine akienda shuleni anaweka walimu ndani yaani ni vituko tupu.
Dawa wakiugua hawa madaktari na wauguzi wawashughulikie ipasavyo!
 
Back
Top Bottom