- Thread starter
- #21
Huwa napenda kusisitiza zinapozuka tuhuma kwa Chadema hasa zinazogusa viongozi ni vizuri hoja zijibiwe vizuri na si kujibu KiCCM ......lazima watu waone tofauti ......hapa zimeandikwa tuhuma ambazo sisi tulio huku pembeni tungependa tuone majibu komavu ili tuendelee kujijengea taswira ya kutenda tunachohubiri .....hivyo sitegemei kejeli na majibu ya rejareja kama akina MSALANI na ifweero wanavyojibu humu ........mleta mada apewe majibu ya Kichadema ......yenye mantiki tufunge mjadala .....
Anayebisha ataenderea kubisha na kutumia lugha za kejeri ziszo za msingi,Ester Matiko amepeleka viti vya kukaria kata ya Mriba wakati anajua ya kwamba ni kinyume kabisa na taratibu za chama wakati wa uchaguzi,ester usku wa kuamkia leo wakiwa na John heche walikua kata ya susuni wamekaa na wajumbe huska na kutoa posho je hyo sio rushwa?John heche anapanga viongoz wa wilaya kwa kutafta nafasi ya ubunge 2014 kwa gharama yeyote ile.Kwa taarifa bila chadema moja tarime hatushindi kamwe kwani uchaguzi ni hesabu,mi naipenda chadema lakini hawa wanaotumia vifedha vyao wakijiona sasa wana uwezo kukigawa chama tusiwachekee.
Heche akumbuke alimshinda tajiri kwenye udiwani sio kwa sababu heche alikua na pesa alishinda kwa sababu ya umoja wa wanachama tarime na wananchi,lakini leo hii amesahau na kuamini kuwa akitumia fedha atashinda nimpe pole sana.
Last edited by a moderator: