Ndugu wanachadema wenye mapenzi mema na chama chetu,katka hari ya kuskitisha Mh.Ester Matiko ambaye ni mbunge wa viti maalumu Mara na mwenyekiti wa vijana taifa ndg John Heche wamefika tarime tangu tarehe 9/8/2014.
Waheshimiwa hao ambao wanna maslahi na uchaguzi wa tarime wameanza kupigia simu baadhi ya viongozi wa kata ambao ni wapiga kura wakiwapatia maelekezo ya kuhakikisha ya kwamba tarehe 11/8/2014 wajumbe wa mkutano mkuu watafatwa na magari yao ambayo wameyandaa na watapelekwa mahala maalumu kuhifadhiwa(kufichwa)hadi tarehe ya uchaguzi kwa Marengo ya kuhakikisha wajumbe hao wanapiga kura kwa malekezo watakayopewa na wafadhiri wa mpango huo ambao ni Ester Matiko na John heche.
Wanachama tunasema kitendo hicho ni cha kihuni na cha kifsadi kwani tumeshuhudia kampeni zinavyofanyika na kwa kuvunja kanuni za chama kwa wafuasi wa Heche kupitapita kila kata na kutoa fedha kwa wajumbe na ahadi nyingi ili kuhakikisha wagombea wote wasio na maslahi yake kwenye uchaguzi ujao wa ubunge wanatupiliwa mbali.
kitendo hiki cha kuficha wajumbe na kuwapa rushwa ni kitendo kichafu sana ambacho tumekua tukikishuhudia kwenye chaguzi za ccm tofauti na vyama vingine.kuna tetesi kwamba uchaguzi unaweza kuvurugika kama utaratibu wa kusomba wajumbe na kuwapatia rushwa utafanyika.
Tunaomba viongoz wa kitaifa wanaohuska na uchaguzi watambue ya kwamba uchaguzi huu wa tarime ni zaidi ya chaguzi kwani unatawaliwa na visasi ghiriba na hira za kila aina.