John Heche na Ester Matiko kuvunja kanuni za uchaguzi Tarime.

John Heche na Ester Matiko kuvunja kanuni za uchaguzi Tarime.

Huyu tumeshamfahamu mkuu.Na ID zake nyingine 2 hivi. Wanadhani JF ni sehemu ya kujificha na kufanya ufedhuli dhidi ya CHADEMA wakabakia kuwa salama.

Mwenzao mmoja aliyekua anatumia ID ya Imebidi alijimaliza jana kwenye ule mjadala wa maoni ya ACT kuhusu katiba mpya hadi ikawa aibu.

Ni kinyume cha katiba ya Chama kutoa tuhuma kwa viongozi na wanachama humu badala ya kufuata vikao halali.Ni kosa kubwa bila kujali kama tuhuma ni za kweli ama la.Tuhuma zitashughulikiwa lakini anayevunja katiba pia atawajibika kwa mujibu wa katiba ya chama

MPE sumu mkuu asiwazingue màana SAA nane ww ni mtaalamu wakutembea na sumu
 
Last edited by a moderator:
Chaguzi nyingi za Chadema zinakuwa zimejaa rushwa nakumbuka uchaguzi wa Bavicha Taifa rushwa zilitawala sana watu wanatoa rushwa kupitia TIGOPESA na M-Pesa.

Rushwa ya chadema ni mbaya Sana heri ya çcm chadema wabunge Wa viti maalumu
 
Chaguzi nyingi za Chadema zinakuwa zimejaa rushwa nakumbuka uchaguzi wa Bavicha Taifa rushwa zilitawala sana watu wanatoa rushwa kupitia TIGOPESA na M-Pesa.

HABIB MCHANGE huyu mpangaji wa mauaji ya DR SLAA , NDIYE KINARA WA RUSHWA HIYO , LAKINI ALIDHIBITIWA VIBAYA SANA !
 
mkuu , kwanini usikusanye vielelezo na kuvipeleka mbele ya vikao vya chama ? Badala ya kuleta huku ?
 
Ndugu wanachadema wenye mapenzi mema na chama chetu,katka hari ya kuskitisha Mh.Ester Matiko ambaye ni mbunge wa viti maalumu Mara na mwenyekiti wa vijana taifa ndg John Heche wamefika tarime tangu tarehe 9/8/2014.

Waheshimiwa hao ambao wanna maslahi na uchaguzi wa tarime wameanza kupigia simu baadhi ya viongozi wa kata ambao ni wapiga kura wakiwapatia maelekezo ya kuhakikisha ya kwamba tarehe 11/8/2014 wajumbe wa mkutano mkuu watafatwa na magari yao ambayo wameyandaa na watapelekwa mahala maalumu kuhifadhiwa(kufichwa)hadi tarehe ya uchaguzi kwa Marengo ya kuhakikisha wajumbe hao wanapiga kura kwa malekezo watakayopewa na wafadhiri wa mpango huo ambao ni Ester Matiko na John heche.

Wanachama tunasema kitendo hicho ni cha kihuni na cha kifsadi kwani tumeshuhudia kampeni zinavyofanyika na kwa kuvunja kanuni za chama kwa wafuasi wa Heche kupitapita kila kata na kutoa fedha kwa wajumbe na ahadi nyingi ili kuhakikisha wagombea wote wasio na maslahi yake kwenye uchaguzi ujao wa ubunge wanatupiliwa mbali.

kitendo hiki cha kuficha wajumbe na kuwapa rushwa ni kitendo kichafu sana ambacho tumekua tukikishuhudia kwenye chaguzi za ccm tofauti na vyama vingine.kuna tetesi kwamba uchaguzi unaweza kuvurugika kama utaratibu wa kusomba wajumbe na kuwapatia rushwa utafanyika.

Tunaomba viongoz wa kitaifa wanaohuska na uchaguzi watambue ya kwamba uchaguzi huu wa tarime ni zaidi ya chaguzi kwani unatawaliwa na visasi ghiriba na hira za kila aina.

upumbavu kafanyie kwa babako na mamako cdm iache inamisingi yake tena ukome kbs .................mkubwa
 
kama umetumwa kawambie mapema kule hakuwezekaniki,,,,,,,,,,,,,,,,,pulakakatumba wakubwa
 
Uzushi.. uongo na unafiki. Tumezoea na tunasonga mbele. Mtalia na siasa zenu za maji taka.
 
Makundi ndani ya chama ndo huaribu kabisa umoja ndani ya chama. Chadema angalieni sana hili.
 
kwa taarifa ni kwamba esther matiko alishachanga tsh500000 kwa ndugu mmoja ambaye ni mtunza hazina wa uchaguzi huo ili kufanikisha uchaguzi
john heche ukimtafuta kwa sasa yuko BUTIAMA kwa kusimamia uchaguzi
mwl chacha heche ni msimamizi wa uchaguzi BUNDA
tuna taarifa kama wanachadema anayegawa rushwa tarime ni mtu anaitwa wambura nyaronyo na ushahidi upo! katumwa na esther?
na wewe unaweza kuleta ushahidi heche ameonekana TARIME ama yuko BUTIAMA?
tunaendelea kuambiwa kuna kikao cha kamati ya maandalizi ya uchaguzi tatime kinaendelea tena leo na heche alitoa magari kwa kazi ya kusaidia chama kama mchango wake sio kuficha wajumbe hiyo ni hofu heshimuni viongozi acheni umburula

Naona vibaraka mko kazini sasa mmefika patamu habari za kuaminika ni kwamba kikao cha maandalizi ya uchaguzi kilitoa maelekezo ya kwamba hakuna mtu yeyote mwenye maslahi na uchaguzi huo atalazimika kutoa mchango wake ili jukumu la kuleta wajumbe libaki kwa kamati huska je heche kutoa magari kubeba wajumbe linakubarika?

Kama ana uwezo wa kuwa na magari ameshindwa nini kukabidhi mchango wake wa fedha kwenye kamati huska?taarifa zilizopo ni kwamba Ester aliwahidi wanakamati kupitia kwa mdogo wake heche kuwa atamalizia kiwango cha fedha kilichobaki ili bajeti ikamilike baadae tena baada ya vikao vya nguvu ya giza kukaa ikaletwa hoja tena Ester hana pesa hizo kwani amebanwa na michango ya majimbo mengine, kulikua na haja gani kutoa ahadi kisha ishindwe kutekelezwa ikiwa imebaki siku mbili za uchaguzi?baadae mnasema Heche katoa magari wakati mmepita kwenye kata na kuahidi kuwa gari za heche zipo zitasomba wajumbe je huo utaratibu wa kusomba wajumbe kwa magari ya heche unakubarika?

Tarime inawajua kuliko mnavyojijua kama mnajiamini kuwa mnakubarika simfanye kampeni za kistaarabu tuwaone mnavyoshindwa?ila nawambieni utaratibu huu wa kiccm mnaoutumia kwa kutafta ushindi wa kura za maoni 2015 itakiumiza chama na wahuska mtajuta maishani menu,tafuteni kazi mfanye kwani lazima siasa ziwatoe?mnafanya Biashara ya samaki zilizochina na Wateja wameshituka sjui mtamuuzia nani,
Mi nakuja lazima nishuhudie huo uchaguzi kama utakuwa huru na wahaki,vingnevyo wanachama hatutakubari upuuzi huu wa kugawa rushwa kwa wajumbe.
 
Back
Top Bottom