John Heche mwenyekiti mpya BAVICHA taifa

Japo mimi sio Mwanachadema, najiunga na wote wenye mapenzi mema na Chadema, nampongeza John Heche kwa kuchaguliwa kuongoza Bavicha.

Nawashauri all interested parties, wakubali uchaguzi umekwisha, wavunje kambi na kuzielekeza nguvu zao zote katika kulenga target ili kufikia malengo.

All the best.

Pasco
 
Soma hizi posts

sasa mkuu kama kanuni zinasema hakuna kupiga kampeni mpaka ukumbini ilikuwaje wakaform alliance? walijuana saa ngapi kuwa huyu ndo mwenzangu? mbona napata shida kuelewa hili?
 
Nampongeza sana Heche kwa kushinda na nimjulishe tu kwamba sisi Vijana Wenzie tunamuamini. Wosia wangu kwake nikwamba lazima atambue Jumuiya aliyopewa kuiongoza ni kubwa sana tofauti kabisa na anavyofikiria akiamua kufanya kazi baada ya miaka miwili tu hii ndo itakuwa Jumuiya yenye Wanachama wengi zaidi hapa Nchini kuliko zingine zote,kuna vijana wengi sana ambao hawana kadi za chama wala sio members wa Bavicha ila mioyo yao ipo Cdm na wanaamini ndo Chama mkombozi ktk maisha yao waliyopoteza matumaini na muelekeo so ahakikishe wote hawa wanajiunga na Bavicha nakufahamika kwa kuiimarisha Bavicha kuanzia ngazi ya chini kabisa Mtaa/kitongoji kwakuhakikisha vijana wote wanafikiwa nakuunda uongozi wao imara.Vijana hawa wakiungana nakuform umoja wao nakuambia hakutakuwa nakuchakachua wala hizo Kanda Maalum za polisi hazitafanya lolote.Akifanikiwa kwenye hilo 2015 ushindi utapatikana asbh kabisa na tutapiga kura huku matokeo tukiwa nayo mkononi.Heche tupo pa1 fanya kazi na usikae tu Makao Makuu Dar tunataka tukuone Wilayani na Katani ukíimarisha nakuijenga BAVICHA.Kila la kheri Mzeya.
 
I personally strong believe atafanya vizuri..!! Ila ningependa kumuomba achunge one thing...!!! HE SHOULD FOCUS ON BUILDING THE PARTY AND NOT VIJEMBE NA MAJIBIZANO AGAINST UVCCM...!! At the end of the day ufanisi wake hatutaupima kwa uwezo wake wa kujibu mapigo ya vijana wa magamba bali anavyokijenga chama...!!! Tuko pamoja sana mkuu and we wish u all the best katika uongozi wako...!!
 
Walioshindwa kubalini, Heche nimemsikia muda mrefu ni senior kwa wagombea wengi karibu wote pia ni mtu aliyepambana mwanzo mwisho na ana nia ya dhati. Wote wagombea nawaheshimu still there are opportunity in chadema msikate tamaa. Nafikiri kuna balance fulani maana kuna mzanzibar, mtu fulani wa mbeya shonza kama sikosei na heche huko musoma yote na kanda ya ziwa inaondoka
 
Duh,ameshinda jamaa aisee!
Haya bana,ngoja tu tumpe ushirikiano kwa manufaa ya chama!
Tarime haitaenda chadema tena,kama heche kashinda
He will always bring conflict na ccm wata nufaika na minyukano ya chadema kule



wazee wa chadema know better.
 
as a Prince and an evangelist nawausia kuwa his time has come. Mkimpa ushirikiano you are humbling yourself into Godly decision. Mkienda against some of you are going to delay your success! This is my wor to you as a preacher and a prince; ukitaka you can take my words ukiona ni upuuzi yenyewe yatabaki yenye nguvu na mwisho wa siku penda usipenda utayakuta yanakusubiri kuku kumbusha that I once adviced you!....Prince Ame in the Kingdom of Heaven!

I told you I never do things kwa hisia I know what am talking for what I say is a command kwani as I say the environment has to obey ninachokiambia hasa kama nimepewa kukisema na baba yangu...!

Mkuu sana.

Yatupaswa tujifunze bila kukoma juu ya maono na uweza uliopo katika neno, itoshe kusema tu kuwa yote yatafanyika kama tu yapo kwenye mstari wa mapenzi ya Mungu na wala sio tamaa zetu kama wanadamu.

Wengi sana wamevichanganya hivi vitu na kutoa unabii usiotoka kwa Bwana na mwisho wake wakaupoteza ushuhuda wao na kupotea katika uharibifu, you better know this..usiuimbe Wimbo wa Bwana Ugenini na Kuishia Kujilisha Upepo.
 
Ingetosha tu kusema una imani na Heche, haya mengine ya CCM kufanya juu chini ili Heche asisinde as if wagombea wengine wa Uenyekiti walikuwa mamluki wa CCM ni hoja ya hovyo kabisa.

By the way wamuogope kwa nini hasa?binafsi naamini pia kuwa Heche kwa kutojua atainufaisha sana CCM Tarime 2015, wait and see!!

Mkuu mjuze basi ili asiinufaishe ccm 2015...mana unaongea tuuu unauma maneno toboa kwamba wewe ni Waitara sasa una wasi wasi heche atakubana Tarime sasa unaona uzushe...wacha hizo siasa taka huyu kijana anafaa wale wanachama wamepiga kura wanajua now kazi ifanyike sio majungu
 
Hongera Heche .Ujue Chadema si lelemama .Nakutakia kila jambo zuri na uwapeleke vyema vijana wa Chadema . Nakukumbuka uchaguzi wa Tarime baada ya Mh.Chacha Wangwe kufa akaja kibaraka aliye enda CUF . Ulifanya kazi kubwa . Hongera sana .
 
nafasi nyingine matokeo bado? au melala kwanza mtayahesabu badae ? teh teh just a joke msinishambule wajameni
 
mura hongera sana kilichobaki ni wewe kuwaunganisha vijana ndiyo kazi kubwa pekee, na kikubwa zaidi tutakupa ushirikiano wetu wa hali na mali kuhakikisha malengo yako yanatimia juu ya bavicha sasa kazi inaanza kujenga chama na usiwe mtu wa ofisini toka ukutane na vijana mpeane ushirikiano na ukubali mawazo ya watu na kuyafanyia kazi ndipo uyatolee tamko na hapa jf tafadhali usikose kuingia kila mara na kujipatia ushauri wa mambo ,bali mbali jinsi ya kujenga chama kwa sababu naimani wapo watu makini na wenye uchungu na taifa lao ila awana talanta ya uongozi ila wana mawazo mazuri na ushauri usisite kuwatumia vyema, Mungu akusimamie akupe hekima na busara uweze kuongoza vyema kwa manufaa ya chama na taifa kwa ujumla
 
Back
Top Bottom