antimatter
JF-Expert Member
- Feb 26, 2017
- 49,665
- 130,537
Hapo ni TANGANYIKA vs ZANZIBAR tena.Mheshimiwa Jaji Mwanga ameteuliwa kutoka Tume ya Uchaguzi Zanzibar(ZEC)
Hivi mahakama ni suala la muungano?
Na je, kuna majaji wa kutoka Tanganyika kule Zanzibar?