sina haja ya kujibiwa gentleman,Acheni kujibizana na hilo tahira!! Akiandika msipomjibu ujinga wake ataona amedharaulika.
Hawa dawa yao kuwakabia kwa juu.Watu wanataka kushiriki uchaguzi dikteta mmoja na genge lake wanasema watazuia uchaguziAnguko la LISSU NA VIBAKA WENZAKE
Hahahaaaa.Sifa za mwenyekiti na genge lakeNi kufoka foka tu na ukali kwa kupaza sana sauti
π€£π€£π€£π€£Nenda chooni ukakague chupi yako kuna kinyesi!
G55 wamekabia juu halafu wanafinyia kwa chini, mayowe ni mengi mno wanayatoa heche na lisu πHawa dawa yao kuwakabia kwa juu.Watu wanataka kushiriki uchaguzi dikteta mmoja na genge lake wanasema watazuia uchaguzi
yupo kihip hap sio,Ni kufoka foka tu na ukali kwa kupaza sana sauti
Utaliwa sana huu mwakaπ€£π€£Kampikie Mme wako kuda wewe
Achana na mambo ya kizamani, nenda youtube utakuta kila kitu huko. Nakumbuka miaka ile ya 2000 ndio tulikuwa tunaulizia marudio.Marudio lini na sisi tujionee unachosema
Naifahamu vizuri itv na baadhi ya watangazaji wake.Heche anajua kuzungumza vizuri na kwa mantik farhia middle amegeuka kuwa msikilizaji na sio muuliza maswali.
Kweli kabisa. Mimi ni jirani ya Heche hapa Majengo Mapya, Mkolani, Jijini Mwanza. Heche SIO MUUMINI wa No Reform, No Election. Lakini sasa, atafanyaje mbele ya Dikteta Lissu? Ndio maana unamwona mnyonge akitetea hoja asiyoiamini!heche kuna vitu anapitia saikolojikali na mentally ee?
maana body languages, tone na facial expressions ni kama kabisa hayuko sawa kuna vitu vigumu mno na vizito anapitia π
Kuna watu wa CCM humu walishangilia sana Mbowe atoke na kuukweza sana umoja wa TL na JH.kwanza nuru imepotea, lakini pia hana tena ile authoritative tone, lakini amekongoroka mno.
au anapiga sana vyombo hasa spirit zile ngumu ngumu ambazo ili umeze lazima ukaze sura na kung'ata meno?
huenda kuna Ukweli wa kuliwa pension yake ubunge kwenye kubeti kamari π
Tazama sasa:Marudio lini na sisi tujionee unachosema
Jikite kwenye mada gentleman, itapendeza zaidi πKuna watu wa CCM humu walishangilia sana Mbowe atoke na kuukweza sana umoja wa TL na JH.
Mbowe ametoka TL ameshikilia Usukani. Ajabu ukipitia nyuzi humu watu walewale wa CCM na wasiopenda mabadiliko , ambao kwa namna Moja au nyingine wananufaika na mirija ya mfumo uliopo sasa wanawarushia mawe polepole TL na JH. Wanawashusha polepole kama walivyowapandisha.
Wonders shall never end in Africa.
Sahihi kabisaHeche anajua kuzungumza vizuri na kwa mantik farhia middle amegeuka kuwa msikilizaji na sio muuliza maswali.