relax gentleman, tuliza mihemko tu hakuna haja ya makasiriko,We ni mke wake mpaka ujue hayuko sawa? No reforms no election.
Kampikie Mme wako kuda weweKapikie watoto acha kukaa vibarazani
Mume wakeWe ni mke wake mpaka ujue hayuko sawa? No reforms no election.
Tuwe tunashtuana jamani.kuchek.mambo mazuriKatika siku ambazo Farhia Middle wa ITV hatazisahau ni leo wakati akifanya mahojiano na Makamu Mwenyekiti wa Chadema katika kipindi cha dakika 45!
Farhia ameshiba majibu ya maswali yote aliyouliza hadi akashindwa kuuliza maswali ya nyongeza!
Hakika kwa viongozi hawa wa Chadema wakiongozwa na Mwenyekiti Lissu mambo ni π₯!
sema lolote khs facial expressions ya Stevin Wasira!body language, tone and facial expressions of the gentleman tells everything π
Chizi Fulani hiviHeche huongea point tena za kizalendo na ana maono.
Physically and mentally inaonekana kuna tatizo kwa huyo muungwana, na kupuuzia jambo la maana kama hilo ni kumuumiza.Are you shure hayuko? Kaa kwa kutulia bro. Si kila jambo ni la ku comment, sometimes una comment ujinga
gentleman,sema lolote khs facial expressions ya Stevin Wasira!
Ukweli haujawahi kushindwa na chuki.Porojo tu Heche hanaga hoja ni kelele tu
Wewe ni mke wake hadi ujue kuwa hayupo sawa? Mbona swali rahisi tu kujibu?relax gentleman, tuliza mihemko tu hakuna haja ya makasiriko,
huyo muungwana asaidiwe kiafya na kwakweli itapendeza zaidi na atakua akasaidiwa jambo la maana sana π
Gentleman,Wewe ni mke wake hadi ujue kuwa hayupo sawa? Mbona swali rahisi tu kujibu?
Chuki imeasisiwa na genge la kihuni la Lissu.Mtapata anguko kubwa sana yatawarudiUkweli haujawahi kushindwa na chuki.
Kwahiyo ukiwa mkali unakuwa haupo sawa.Gentleman,
ukizingatia ukali alionao ni wa mtu asie sawa healthy π
Heche wa ccm ati ni Mzee wasira, ccm akili zenu mnazijua wenyewe,heche kuna vitu anapitia saikolojikali na mentally ee?
maana body languages, tone na facial expressions ni kama kabisa hayuko sawa kuna vitu vigumu mno na vizito anapitia π
Kwamba umegeuka mtaalam wa afya? Politician wa jf bwana πππPhysically and mentally inaonekana kuna tatizo kwa huyo muungwana, na kupuuzia jambo la maana kama hilo ni kumuumiza.
Ukweli usemwe tu japo ni mchungu na unaamsha mihemko sana π
Nawe atakuwa amekukoshaheche kuna vitu anapitia saikolojikali na mentally ee?
maana body languages, tone na facial expressions ni kama kabisa hayuko sawa kuna vitu vigumu mno na vizito anapitia π
Acheni kujibizana na hilo tahira!! Akiandika msipomjibu ujinga wake ataona amedharaulika.Angekuwa anapitia asingeweza kufanya kampen au kujielezea. So shut up and get a grip