Manyanza
JF-Expert Member
- Nov 4, 2010
- 19,147
- 43,079
Ripoti zinaeleza kuwa klabu ya Simba, imefikia makubaliano ya awali na kiungo wa Coton Sport, John Bosco Nchindo (23).
Mazungumzo baina ya Simba na kambi ya mchezaji yamekamilika kilichobaki ni Simba kumalizana na klabu yake (Coton Sport).
Nyota huyo raia was Cameroon alishinda tuzo ya mchezaji bora wa msimu uliopita.
Kwa emoji hapo chini Wanasimba mnazungumziaje usajili huu, ni Mali au hadi muone akicheza?