Tetesi: Joh Makini kuingia WCB

dah mbna kama diamond anaanza kukosea juu ya wasanii wa kuwasaini kwnye lebel yake? tukianza na rich mavoko, si vibaya kumsaini lakn tayar ni star ambaye zilibaki step chache sana awe wakimataifa ambapo hata kwa juhud zake mwenyewe angeweza kufika.
The applied kwa joh makini pia alishakuwa wakimataifa na tayar ana hit sana, bad enough ni kwamba ana brand kubwa nyuma yake(weusi) ambao they are able to do anything kweny industry na some of them tumeshaona, sasa msanii kama huyu unamsainisha for what?
Nlichodhani mim ni kwamb WCB itakua inachukua watu ambao ni very talented bt kwa namna moja au nyngne wamekosa strong sapport ya kuwafikisha mbali kama ilivokuwa kwa harmoserengeti na raymond...!
 
Kwenye uzi huu Kiba kaingiaje..? Ila na nyie muachage kulinganisha Almasi na vitu kwa kijinga...:(
 
dah mbna kama diamond anaanza kukosea juu ya wasanii wa kuwasaini kwnye lebel yake? tukianza na rich mavoko, si vibaya kumsaini lakn tayar ni star ambaye zilibaki step chache sana awe wakimataifa ambapo hata kwa juhud zake mwenyewe angeweza kufika.
The applied kwa joh makini pia alishakuwa wakimataifa na tayar ana hit sana, bad enough ni kwamba ana brand kubwa nyuma yake(weusi) ambao they are able to do anything kweny industry na some of them tumeshaona, sasa msanii kama huyu unamsainisha for what?
Nlichodhani mim ni kwamb WCB itakua inachukua watu ambao ni very talented bt kwa namna moja au nyngne wamekosa strong sapport ya kuwafikisha mbali kama ilivokuwa kwa harmoserengeti na raymond...!

Mkuu hakuna anayeufahamu mchezo vizuri zaidi ya aliyemo ndani, sisi wengine tunabaki na Maneno mengi tu kama ulichofanya wewe..

Rich mavoko unajuwa amekomaa vipi mpaka kufikia hatua ya kujiunga na WCB?

Na mwisho wa siku utambue, WCB is there for BUSINESS and not CHARITY.. Kwahiyo kila uwekezaji upo sawa ila tu UKUZE LABEL na KULETA FAIDA
 
dah mbna kama diamond anaanza kukosea juu ya wasanii wa kuwasaini kwnye lebel yake? tukianza na rich mavoko, si vibaya kumsaini lakn tayar ni star ambaye zilibaki step chache sana awe wakimataifa ambapo hata kwa juhud zake mwenyewe angeweza kufika.
The applied kwa joh makini pia alishakuwa wakimataifa na tayar ana hit sana, bad enough ni kwamba ana brand kubwa nyuma yake(weusi) ambao they are able to do anything kweny industry na some of them tumeshaona, sasa msanii kama huyu unamsainisha for what?
Nlichodhani mim ni kwamb WCB itakua inachukua watu ambao ni very talented bt kwa namna moja au nyngne wamekosa strong sapport ya kuwafikisha mbali kama ilivokuwa kwa harmoserengeti na raymond...!
Wewe hujui tofauti ya House of Talent na wafanyabiashara, jaribu kuwa na akili nyepesi.

Diamond ni mfanyabiashara, kazi ya kukuza vipaji siyo kazi yake, Bagamoyo ndio kuna chuo cha sanaa, tafadhali msichanganye business and pleasure.
 
dah mbna kama diamond anaanza kukosea juu ya wasanii wa kuwasaini kwnye lebel yake? tukianza na rich mavoko, si vibaya kumsaini lakn tayar ni star ambaye zilibaki step chache sana awe wakimataifa ambapo hata kwa juhud zake mwenyewe angeweza kufika.
The applied kwa joh makini pia alishakuwa wakimataifa na tayar ana hit sana, bad enough ni kwamba ana brand kubwa nyuma yake(weusi) ambao they are able to do anything kweny industry na some of them tumeshaona, sasa msanii kama huyu unamsainisha for what?
Nlichodhani mim ni kwamb WCB itakua inachukua watu ambao ni very talented bt kwa namna moja au nyngne wamekosa strong sapport ya kuwafikisha mbali kama ilivokuwa kwa harmoserengeti na raymond...!
Mfalme acha hizo
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom