Tetesi: Joh Makini kuingia WCB

BABA TUPAC

JF-Expert Member
Sep 30, 2015
1,527
3,811
Habari zilizopo ni kwamba siku ya Jumatano wiki hii Joh makini anakuwa msanii wa kwanza wa Hip Hop kuingia WCB na kuwa chini ya Diamond Platinumz.

Kwa mtazamo wangu naona si kitu kibaya, ni jambo jema ambalo litachangia kukua kwa muziki wa hip hop. Hongera sana Joh Makini
 
Huyu jamaa ni slow learner, ana fursa nyingi za kufanya makubwa lakini sikio la kufa.....

Kusema ukweli, kwa mtazamo wangu, ikija kwenye suala la kipaji tu cha uimbaji Ali Kiba namkubali sana.

Nadhani hana mpinzani kabisa ikija kwenye hiyo idara.

Na mafanikio anayo tena naona ni mafanikio mazuri tu.

Lakini naona kama vile angeweza kuwa mbali zaidi ya hapo alipo.
 
Iko mushkeli kwa huyu dogo, waswahili wa kariakoo hawa huenda yeye ndio ameshamaliza hapo.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom