Jogoo

Viol

JF-Expert Member
Dec 15, 2009
25,426
18,228
Jogoo alikuwa anamkimbiza jike hku akiwaza nikimkamata leo atanikoma na nikimkosa nitazuga nafanya mazoezi ya kukimbia. Jike nae alikuwa anakimbia huku akiwaza ngoja nikimbie nikisimama ataniona malaya &akinikosa nitabaki bila kutolewa hamu zangu ngoja nikimbie tartibu ili anipate.

Nani hapo umamwona mjanja?
 
Sister alijifungua mtoto hospitali,watu wakashangaa mtoto anacheka badala ya kulia.
daktari akamwangalia mtoto vizuri akaona kuna kitu mtoto ameshikilia mkononi,
akamshika mkono na kufungua mkono,wakashangaa kuona mtoto anacheka huku ameshikilia vidoge
kisha akamwangalia mama usoni na kumwambia "hakuna silaha itakayoweza kuniangamiza"
 
Msichana akiwa anaenda benki kabla hajafika kwa bahati nzuri akamwona boyfriend wake kwa mbali anadraw ATM,
akaamua amwandikie sms haraka.
Msichana:mpenzi kama unalala nitumie ndoto,kama unakula nitumie chakula,kama unalia nitumie machozi yako,
kama unacheka nitumia kicheko
Mvulana:nipo chooni.

kugeuka nyuma anamwona girfriend wake,sijui nini kilitokea
 
hahahha..........nitumie hicho hicho cha chooni.
 
maono tu...........nilikuona upo bank nikaja na kweli nikakukuta uko.
sister maono yako ni bank tu eeh?maana kwingine sijawahi kukuona,unanikosesha amani bhana
 
Last edited by a moderator:
Sasa Excellent na Sister huko mnakoenda mtachekeshana wenyewe, hebu rudini haraka!
 
Msichana akiwa anaenda benki kabla hajafika kwa bahati nzuri akamwona boyfriend wake kwa mbali anadraw ATM,
akaamua amwandikie sms haraka.
Msichana:mpenzi kama unalala nitumie ndoto,kama unakula nitumie chakula,kama unalia nitumie machozi yako,
kama unacheka nitumia kicheko
Mvulana:nipo chooni.

kugeuka nyuma anamwona girfriend wake,sijui nini kilitokea

Hahahahahahaaaaaaaaaa!!! Unajua nini kilifuata?
Mvulana: Nilimaanisha kuwa nakunya pesa, si unaona!...
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom