Soulbrother
JF-Expert Member
- Apr 14, 2009
- 405
- 14
Nilikuwa na rafiki wa kike (sio mpenzi) wa siku nyingi ambaye nilikuwa namtamani lakini niliheshimu urafiki wetu nikanyamaza kwa miaka mingi.
Januari nilikutana naena tukaanza mawasiliano tena. katika mazungumzo nikagundua kuwa hata yeye alikuwa ananipenda na alikuwa aliogopa kusema. Basi tukawa tunakutana kila jioni na kuongea tu.
Jana tulikutana tukawa tunapiga stori maeneo ya coco beach, tukiwa ndani ya gari.
Sijui aligeuka kusema nini, nikampiga busu na tukaanza kupigana mabusu.
Busu baada ya busu, tukajikuta katika hoteli moja, tukiwa uchi.
Cha kushangaza, jogoo alikata, kata kata kuwika.tulijaribu njia zote lakini wapi
Ikabidi nimpeleke kwao bila ya kufanya jambo lolote.
Sasa imefika saa sita hajawasiliana na mimi... nina wasiwasi
Je nimwambie nini?
Ni mara ya kwanza hili limenitokea, je ni jambo la kawaida.
Mwanamke atanielewa ama ndo imetoka?
Naomba ushauri