Jogoo hakuwika mjini

Soulbrother

JF-Expert Member
Apr 14, 2009
405
14
Nilikuwa na rafiki wa kike (sio mpenzi) wa siku nyingi ambaye nilikuwa namtamani lakini niliheshimu urafiki wetu nikanyamaza kwa miaka mingi.

Januari nilikutana naena tukaanza mawasiliano tena. katika mazungumzo nikagundua kuwa hata yeye alikuwa ananipenda na alikuwa aliogopa kusema. Basi tukawa tunakutana kila jioni na kuongea tu.

Jana tulikutana tukawa tunapiga stori maeneo ya coco beach, tukiwa ndani ya gari.

Sijui aligeuka kusema nini, nikampiga busu na tukaanza kupigana mabusu.

Busu baada ya busu, tukajikuta katika hoteli moja, tukiwa uchi.

Cha kushangaza, jogoo alikata, kata kata kuwika.tulijaribu njia zote lakini wapi

Ikabidi nimpeleke kwao bila ya kufanya jambo lolote.

Sasa imefika saa sita hajawasiliana na mimi... nina wasiwasi

Je nimwambie nini?

Ni mara ya kwanza hili limenitokea, je ni jambo la kawaida.

Mwanamke atanielewa ama ndo imetoka?

Naomba ushauri
 
Cha kushangaza, jogoo alikata, kata kata kuwika.tulijaribu njia zote lakini wapi

Ikabidi nimpeleke kwao bila ya kufanya jambo lolote.
pole Bro,
labda Mungu alitaka kukuepusha na janga fulani, mshukuru Mungu , ila nakushauri kama bado mnapendana, nendeni basi hata kucheki miwaya, huwezi jua.
 
Du...what an embarrasment!
Angekuwa Geoff angekwambia piga ma'Valuu, lakini minakwambia ulikuwa na wasiwasi sana,na u were feeling guilty of your own conscience!...Kuanza kunanihii na mtu mliyekuwa mnaheshimiana kama dada na kaka ndo hiyo ilikuua..huh!
 
Kawaida hiyo ndugu yangu wala usiwe na hofu. si lazima kila mara kitu kiwike kaka.
Umeshajaribu kuwasiliana naye kumpigia simu hivi??

Halafu jana nilikuona maeneo hayo ya coco beach ndo viwanja vyako hivyo eee???
 
kwa hiyo ndo ulikuwa naye mkiwa uchi?
 
huwa inatokea, kama hukuwa na imani kwamba one day mtakuwa katika hali kama hiyo. nadhani ulipoata kama shock hivi....
 
Soulbrother ulikuwa nervous sana ndo maana
 
Kaka usikonde, ukiwa na wasiwasi sana hiyo issue hutokea, km ulivyosema ulikuwa ukimheshimu sana, ndo maana hiyo issue imetokea
 
Huyo, umemkosa, ukiwa makini unawezamfanyia timing ukajaribu tena kama bado uko fit au la. Kwani? baada ya hapo ulistuastua ukakuta upo fresh?isije ikawa ndio mojakwamoja umekuwa padri. Mambo haya yanaweza sababisha ukashindwa,
1.pressure,2.uchovu mwingi baada ya kazi nzito,kushinda na njaa. Jaribu tena.
 
Kumbe Adam na Eva bado wapo?

B na wee lol!!!!

@Soulbro hii kitu si inachangiwa na utayari wa ubongo pia
hukuwa umetulia n not ready for that..
afadhali hamkufanza huwezi jua etii!!!
 
Ile heshima nafikir was the main cause, dont worry there is always a second chance.
 
Kawaida hiyo ndugu yangu wala usiwe na hofu. si lazima kila mara kitu kiwike kaka.
Umeshajaribu kuwasiliana naye kumpigia simu hivi??

Halafu jana nilikuona maeneo hayo ya coco beach ndo viwanja vyako hivyo eee???

Sio maeneo lakini nilikuwa najaribu kutafuta sehemu iliyotulia mjini, pasipo usumbufu

Naogopa kupiga simu baada ya aibu ya jana
 
B na wee lol!!!!

@Soulbro hii kitu si inachangiwa na utayari wa ubongo pia
hukuwa umetulia n not ready for that..
afadhali hamkufanza huwezi jua etii!!!

hawakufanza nini B wa ukweli?:rolleyes:
 
Huyo, umemkosa, ukiwa makini unawezamfanyia timing ukajaribu tena kama bado uko fit au la. Kwani? baada ya hapo ulistuastua ukakuta upo fresh?isije ikawa ndio mojakwamoja umekuwa padri. Mambo haya yanaweza sababisha ukashindwa,
1.pressure,2.uchovu mwingi baada ya kazi nzito,kushinda na njaa. Jaribu tena.

bwana tall hapo kwenye blue sijakuelewa....ina maana hao jamaa ndio wako moja kwa moja?
 
Sio maeneo lakini nilikuwa najaribu kutafuta sehemu iliyotulia mjini, pasipo usumbufu

Naogopa kupiga simu baada ya aibu ya jana

ee bwana dogo Soulbrother wala usijali inatokeaga

sababu ni kwamba kisaikolojia hukuwa tayari, ukichukulia ni muda, halafu kilikuwa hakijaeleweka, na pia inawezekana umelelewa pia kimaadili kwa hiyo guilty concious ilikuwepo, plus hofu ya kwamba tangu wakati huo alishawahi kuwa na akina nani?

jaribu kumtafuta, mpigie simu, ukikaa kimya atakuona umakuea goi goi kweli.. mweleze hali halisi, ikibidi muulizane vizuri kabla hamjaamua ku do ze nidiful

piga moyo konde hali ya kawaida hiyo
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom