Jogoo hakuwika mjini

lol..roja roja unanisoma? enhee..'papa alfa juliet alfa' ndo mwake,, over,

afrmtv....copied that...kuna na 'kilo india uniform november oscar' nadhani utapenda...over and out
 
afrmtv....copied that...kuna na 'kilo india uniform november oscar' nadhani utapenda...over and out

roja roja...usitoke kwanza..eeh...ebu ngoja nicheki...nitaanzia hapo hapo....senks..over
 
Alikuandaa kabla ya shuguli? alikuwa msafi? hivi pia huwa vinachangia tukio kama hilo

Pls note: hata mwanaume anaadaliwa kabla ya shuguli.


ALikuwa msafi, siwezi kumlaumu kwani kila kitu chake kilikuwa bomba... lazima niseme ukweli tatizo lilikuwa upande wangu
 
Kumbe its you guys i saw kissing in that red car lol! the chic is paying if you noo wora amseying! Call her brother, call her, otherwise ndo atakuona si riziki kabsaa.

Kajibu message ila gari lenyewe sio red!!!!

Na true man the chick is paying, i noo wora yoseying
 
wacha weeee naoana kibena kitupu hapa!

Geoff upo wapi uje kunitafsiria!

nway kwa jamaa mwenye shida ya jogoo; ulikamia mno mashine wangu du!
 
Dah! Nilikuwa sijasoma humu. Kwani tangu mnakis hadi hotelini jogoo alikuwa hashtuki? Ila wakati mwingine ni hofu tu. Nxt time jipange na umpe doz asahau ya nyuma
 
Cha kushangaza, jogoo alikata, kata kata kuwika.tulijaribu njia zote lakini wapii

Inaonyesha demu huyo sio mzuri sana au mzee ulifikiria swala la Ukimwi kwakuwa hukuwa na pembejeo mfukoni ukaamua kunywea gafla.
 
Fidel80 mbona pembejeo zilikuwepo (yaani sio moja). Lakini usijali, tumeanza mawasiliano na labda kesho nitapost "Jogoo kawika mjini"
 
ALikuwa msafi, siwezi kumlaumu kwani kila kitu chake kilikuwa bomba... lazima niseme ukweli tatizo lilikuwa upande wangu
Wewe ulipoteza confidence! Mara woga/hofu ikakutwanga kila sehemu. Ukawa baridi. Next time jiamini kwamba unaweza. Na utaweza!! pole bro.
 
Nilikuwa na rafiki wa kike (sio mpenzi) wa siku nyingi ambaye nilikuwa namtamani lakini niliheshimu urafiki wetu nikanyamaza kwa miaka mingi.

Januari nilikutana naena tukaanza mawasiliano tena. katika mazungumzo nikagundua kuwa hata yeye alikuwa ananipenda na alikuwa aliogopa kusema. Basi tukawa tunakutana kila jioni na kuongea tu.

Jana tulikutana tukawa tunapiga stori maeneo ya coco beach, tukiwa ndani ya gari.

Sijui aligeuka kusema nini, nikampiga busu na tukaanza kupigana mabusu.

Busu baada ya busu, tukajikuta katika hoteli moja, tukiwa uchi.

Cha kushangaza, jogoo alikata, kata kata kuwika.tulijaribu njia zote lakini wapi

Ikabidi nimpeleke kwao bila ya kufanya jambo lolote.

Sasa imefika saa sita hajawasiliana na mimi... nina wasiwasi

Je nimwambie nini?

Ni mara ya kwanza hili limenitokea, je ni jambo la kawaida.

Mwanamke atanielewa ama ndo imetoka?

Naomba ushauri
Wewe sio Ngoswe! ndio maana ulishindwa, Ungekuwa Ngoswe usingeshindwa. Lakini kumbuka Ngoma ipo, inawezekana mzee kugoma amekusaidia!.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom