Joel Nanauka akifurahia ndoa

Joel Nanauka akifurahia ndoa

Ndio maana ngumbaru baba revo ana endorsement kubwa kuliko Mimi na wewe🤣

Wakati mwingine Kuna bahati maishani pia ndio maana Kuna LUCK OF TIME OR WORTH OF TIME.

Wengine Maisha yetu Bado MARATHON.

min -me
Monetary doctor
secretarybird

Joel siyo Ngumbaru!!!​

Elimu​

Dr. Joel Nanauka alihitimu darasa la saba mwaka 1992, huku akishika nafasi ya 3 kimkoa kama mwanafunzi bora huko kwao mkoani Mtwara na hivyo kuchaguliwa kujiunga na shule ya vipaji Kibaha (Kibaha Secondary School) ambapo alisoma kidato cha kwanza mpaka cha sita.

Akiwa kidato cha pili 2000 alikuwa miongoni mwa wanafunzi bora 10 waliofanya vizuri katika kanda ya Mashariki. Mnamo mwaka 2002 kidato cha nne huku akiwa ni mwanafunzi bora kitaifa akipata ufaulu wa Alama A katika masomo tisa kati ya 10 aliyoyasoma na kufanikiwa kujiunga kidato cha sita hapohapo Kibaha Sekondari.
Alijiunga na chuo kikuu cha Dar es Salaam mwaka 2005 akisomea shahada ya Biashara na Uongozi na baadae alisoma Stashahada ya Juu ya Diplomasia Ya Uchumi (Post-graduate in Economic Diplomacy) na baadaye kupata Shahada ya Uzamili ya Maendeleo na Uhusiano wa Kimataifa (International Cooperation and Development).

Mwaka 2024 Joel Nanauka alitunikiwa shahada ya heshima ya Uzamivu katika Uongozi na Usimamizi wa Biashara (PhD in Leadership and Business Management) na chuo kikuu cha Veridian kilichopo Atlanta,Georgia nchini Marekani.
 
Mpunguzie mzigo DR. HAYA LAND😊
ipo ivi fanya kuingia YouTube msearch..

Jamaa alikua na distinguished results both O-level na A_level

Na mengineo mengi kuanzia uandishi from scratch mpaka kuweza ku kick life & odds

Ingia utaonaa mengineyo
DR VRM

Fuatilia tulianzia wapi ndugu , all in all nipende kukushukuru kwa mchango wako ulio utoa hapa.

Namjua Sana jamaa , huyo jamaa alileta ubishani na Mimi so tukawa tuna vurumisha mawe mlimani simple.
 
Motivational speaker 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Dkt. Kumbuka
 
Imagine mdada kama huyu anaolewa alafu unakuta mtu na tako lake anakosa mme
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom