Sakasaka Mao
JF-Expert Member
- Sep 29, 2016
- 15,645
- 22,595
Umejuaje mkuu? 😁😇🤣🤣Asante mh. Nanauka kwa taarifa
Waliokukataa watakoma, vijembe ndio kwanza vimeanza..!
Umejuaje mkuu? 😁😇🤣🤣Asante mh. Nanauka kwa taarifa
Waliokukataa watakoma, vijembe ndio kwanza vimeanza..!
Dada mambo 😡Asante mh. Nanauka kwa taarifa
Waliokukataa watakoma, vijembe ndio kwanza vimeanza..!
Kwa yesuDada mambo 😡
Umewahi mtomba?Ila mkewe ana mapaja laini sana halafu brown.
Mbunge Mteule Mtwara Mjini1. International best author and motivational speaker kutoka Tanzania akifurahia ndoa na mkewe halali.
2. Ikumbukwe pia Mheshimiwa Dr Nanauka aliwahi kuonyesha Nia Kwa Wadada kadhaa (akiwemo Pastor RS) ila bahati haikuwa yao. Asanteni.
View attachment 3059650
Mtwara wanataka hela sio mambo ya vitabu sijui nnMbunge Mteule Mtwara Mjini
Mtwara wanataka hela sio mambo ya vitabu sijui nn
Hilo tuHela tu ?
kweli mkuu,...huyu jamaa kwa ku copy na ku paste ...nimemnyooshea mikono😸😸😁🙌🙌Ukitoa jambo kwenye vitabu ukatuambia sisi wabongo wa ufundi wa maneno ya kiswahili tunakuona nabii.
Ni kweli unachosema,Nimetumia almost dakika 15 kupitia huu uzi, licha ya jina la mada kuwa tofauti na watu wanachokijadili itoshe kusema watanzania wengi tuna chuki za kipumbavu tujitahidi kutoka kwenye hilo dimbwi.
Ukiona mtu anafanya kitu ata kwa udogo as long as havunji sheria za nchi na kuna baadhi ya watu anagusa maisha yao hakuna haja ya kumjengea chuki, wewe mwenye maarifa mengi na haujawahi hata kusaidia chochote na maarifa yako makubwa how comes unapata nguvu ya kunyooshea kidole mtu anayefanya.
Anafanya nn cha maana ikiwa nae anaomba Kura za Wajumbe kama Baba Levo (ngumbaru mwenzetu)Mpunguzie mzigo DR. HAYA LAND😊
ipo ivi fanya kuingia YouTube msearch..
Jamaa alikua na distinguished results both O-level na A_level
Na mengineo mengi kuanzia uandishi from scratch mpaka kuweza ku kick life & odds
Ingia utaonaa mengineyo
Maisha ni mapambano huitaji kua na rally car 😁Anafanya nn cha maana ikiwa nae anaomba Kura za Wajumbe kama Baba Levo (ngumbaru mwenzetu)
Mapambano yanayofanana Kati ya Ngumbaru na msomi wa PhD?Maisha ni mapambano huitaji kua na rally car 😁
ngumbaru mjanja ni better oftion, kwa sababu wapiga kura majority ni ngumbaru, so he is the best optionAnafanya nn cha maana ikiwa nae anaomba Kura za Wajumbe kama Baba Levo (ngumbaru mwenzetu)