Job Vacancies + Tenders

Shukuru

JF-Expert Member
Sep 3, 2007
748
15
NOTE:

Fuatilia nafasi mbalimbali za kazi zilizotumwa na wanachama wetu. Kama unahitaji mfanyakazi/kufanya kazi basi tufahamishe kwa kuwasiliana nasi.

Jamani haya ni maneno yaliyopo nje ya ukumbi huu na hii si sehem ya kuleta mada au issue zingine zozote, kama mtu ana mada aipeleke sehemu husika na kwa kuliona hili mods wameweka ukumbi ya mada mchanganyiko peleka huko , hapa watu tupo bize tunataka ku-apply kazi na si kutoa maoni.

Then kwa wale wanao-paste kazi msitu-paste-e maelezeo marefu kiasi kwamba tunashindwa hata kusoma, inapendeza kama mkifuata ule utaratibu wa Maxence Melo kama hamuwezi basi acheni andelee mwenyewe.. si mnajidai wema then mnaharibu kazi za watu....

Have a gud day!
 
Back
Top Bottom