Mzee ulikuwa unamaanisha nini Kwa hii habari Yako by then na hivyo bibao vyenye mkasi sijui sindano?Muhtasari
Mheshimiwa Job Yustino Ndugai ni mwanasiasa wa Tanzania na aliwahi kuwa Spika wa Bunge la Tanzania tangu Novemba 2015 hadi alipojiuzulu Januari 6. Hapo awali alikuwa Naibu Spika kuanzia 2010 hadi 2015 kabla ya kuwa Spika chini ya serikali ya Magufuli. View attachment 3281708
alikua mbele ya muda, atuletee na ya kigogo mwingineSema aandae wasifu wa mwingine
Eti wanasema ni wanamtandao wamefanya yao tena.Mshana Jr njoo huku utuambie juu ya kifo chake ni mpango wa mungu au ni wa watu fulani wa kusadikika
RIP jobTaarifa nyingine kichwa cha habari chenye kutia taharuki ,kimuhemuhe😊
Wamempoteza tayari duh!!!😎Njoo uone😂
Inasikitisha sanaEti wanasema ni wanamtandao wamefanya yao tena.
Hadi Muda uliujua...!Muhtasari
Mheshimiwa Job Yustino Ndugai ni mwanasiasa wa Tanzania na aliwahi kuwa Spika wa Bunge la Tanzania tangu Novemba 2015 hadi alipojiuzulu Januari 6. Hapo awali alikuwa Naibu Spika kuanzia 2010 hadi 2015 kabla ya kuwa Spika chini ya serikali ya Magufuli. View attachment 3281708
YametimiaMi simo, Wallah Tena!
Apumzike kwa amaniHapana kabisa ..bado ana maisha mengi