Ulozi huo ...Muhtasari
Mheshimiwa Job Yustino Ndugai ni mwanasiasa wa Tanzania na aliwahi kuwa Spika wa Bunge la Tanzania tangu Novemba 2015 hadi alipojiuzulu Januari 6. Hapo awali alikuwa Naibu Spika kuanzia 2010 hadi 2015 kabla ya kuwa Spika chini ya serikali ya Magufuli. View attachment 3281708
Kafanyeje?!!Muhtasari

kina njinjo watachanganyikiwa kwa lugha hiiLugha ngumu sana hii
Mfungo wa wiki unamaanisha ulozi?Tulifunga wiki na katibu balozi mstahiki
Mchungaji Pita!Nimemkumbuka kama nilivyomkubuka mchungaji aliyevua gwanda na kubebeshwa mapichapicha kama muongoza msafara wa marehemu hayati
PoleniMuhtasari
Mheshimiwa Job Yustino Ndugai ni mwanasiasa wa Tanzania na aliwahi kuwa Spika wa Bunge la Tanzania tangu Novemba 2015 hadi alipojiuzulu Januari 6. Hapo awali alikuwa Naibu Spika kuanzia 2010 hadi 2015 kabla ya kuwa Spika chini ya serikali ya Magufuli. View attachment 3281708
Maisha yepi mengi kaka?Hapana kabisa ..bado ana maisha mengi
😹😹😹Bado striker sasa timu iingie uwanjani
Wasifu wa Marehemu ulishaandaliwaMuhtasari
Mheshimiwa Job Yustino Ndugai ni mwanasiasa wa Tanzania na aliwahi kuwa Spika wa Bunge la Tanzania tangu Novemba 2015 hadi alipojiuzulu Januari 6. Hapo awali alikuwa Naibu Spika kuanzia 2010 hadi 2015 kabla ya kuwa Spika chini ya serikali ya Magufuli. View attachment 3281708
Leo bar zitajaaaHebu sema vizuri tuanze kusherehekea.
HatujachelewaHebu sema vizuri tuanze kusherehekea.
SureCoffin....
Kidogo chetu kimetimia kaka, tuwaze mengineBado kidogo
Masaa yalishasoma kumbe, na wala hakuelewa hii kitu🙄Muhtasari
Mheshimiwa Job Yustino Ndugai ni mwanasiasa wa Tanzania na aliwahi kuwa Spika wa Bunge la Tanzania tangu Novemba 2015 hadi alipojiuzulu Januari 6. Hapo awali alikuwa Naibu Spika kuanzia 2010 hadi 2015 kabla ya kuwa Spika chini ya serikali ya Magufuli. View attachment 3281708
Njoo uone😂wacha tuone!!👿