goodlif1600
JF-Expert Member
- Jun 1, 2016
- 794
- 865
Bado hujaridhika tu? Watanzania Chuki za kijinga zinagandisha akili zenu ndo maana hatusogei Taifa lina vijana wa hovyo kama wewe.Afukuzwe ubunge kwa kutohudhuria makusudi.
Hajulikani yuko wapi, hakuna mwenye taarifa zake.