Job Ndugai huyu hapa, yuko bize jimboni kusaidia wapiga kura

Huyu jamaa ni mtoro wa bunge..anazurura tu mitaani afu analipwa hela zetu za PAYEE.
 
Sasa ndio atafanya kazi za ubunge kwa mawanda mapana.....

Inapotokea shari kwa mtu binafsi huwenda ikawa heri kwa walioko nyuma yake....

MADARAKA HUTOKA KWA MWENYEZI MUNGU

#Siempre JMT🙏
Kazi ya mbunge ni nini hapa Tanzania? Kuna mbunge mmoja wa Ifakara miaka hiyo yule jamaa dalali wa magari muda wote anashinda kinondoni na sinza
 
Mbowe ruzuku anakula na mukya wewe kelele TU

USSR
CDM haijachujua ruzuku yenu senti tano tangu mwendazake aingie madarakani hadi leo kwa ule uchaguzi feki na wa aibu kwa dunia - acha fix ndugu.
 
Sawa.

Lakini, hakulazimika kujiuzulu.

In fact, hakulazimika hata kuomba msamaha, angeweza kusema mimi kama Spika naongoza muhimili wa kusimamia serikali, na serikali inakopakopa ovyo bila mambo kupitiwa na bunge.

Na watu wengi tu wangeweza kumuunga mkono.

Na hata wasingemuunga mkono, angeweza kusimamia upande wake.

Lakini hakusimamia, kajiuzulu. Kwa udhaifu wake mwenyewe.


What if kulikuwa na shinikizo la kujiuzuru?
 
Aliyekuwa spika wa bunge la jamhuri ya muungano wa tanzania Job Yustino Ndugai akishiriki uzunduzi wa chanjo ya mifungo jimboni kongwa

Hongera kwake kwa kutulia

USSR View attachment 2184385
CCM wameona tunawauliza kuhusu supika wetu wameamua kumwanika kwenye uzinduzi wa chanjo ili wafiche kuhusu kufichika kwa huyu mzee.
 
What if kulikuwa na shinikizo la kujiuzuru?
Angesema napewa shinikizo la kujiuzulu kwa sababu nasema ukweli.

Watu wangepima.

My point is, Job Ndugai alikuwa anaongoza muhimili unaojitegemea, hakutakiwa kujiachia ashinikizwe na rais.

Alitakiwa kumsimamia rais.
 
CCM wameona tunawauliza kuhusu supika wetu wameamua kumwanika kwenye uzinduzi wa chanjo ili wafiche kuhusu kufichika kwa huyu mzee.
Zamani tulikuwa tuna msemo kwamba mlinzi Mmakonde akikukuta sehemu ya lindo anasema "Ukichimama nchale, ukikimbia nchale".

Ndugai asipoonekana, lawama kwa CCM.

Akionekana.

Lawama kwa CCM.

Job Ndugai hata akisema achukue muda kukaa faragha na familia yake, CCM itapata lawama.

Watanzania wengi wanapenda sana conspiracy theories.
 
Hakuna ntu serikalin mwenye uwezo wa kumficha Job Ndugai.

Job ana system kali sana kwenye mifumo ya usalama duniani.
Hapa tunafurahisha genge tu, don't take everything so serious.

Ila hapo cha usalama wa duniani umetupiga fix, hata kama ana umuhimu sio mkubwa kiasi hicho🤣🤣🤣
 
Back
Top Bottom