Job Ndugai huyu hapa, yuko bize jimboni kusaidia wapiga kura

Hali ilivyo Sasa jimboni kwa Ndugai

FB_IMG_1620883433830.jpg
 
Pamoja na kumtwisha masasi yote Yale akili Ina charge,vipi ingekuwa akili ugali kama mwenzetu na sie,usingekuwa unazingumzia afya ya akili,ila ingekuwa unatembelea jalala Moja baada ya jingine🤭
Ila Lissu hapana aisee....jamaa walimtwisha masasi kumi na mnane ila jamaa kichwa bado kinacharge hakuna mfano...aisee ingekuwa mm sijui kwa sasa ningekuweje tu..
 
Samia kamkanyagia vipi wakati mtu kujiuzulu mwenyewe?

Samia ana uwezo gani wa kumtoa Spika?
unajua lakini maana ya kukanyagia?,huko kujiuzuru kwa mzee Job ni baada ya kukanyagiwa na b michambo.sijui umenielewa kaka mkubwa?
 
unajua lakini maana ya kukanyagia?,huko kujiuzuru kwa mzee Job ni baada ya kukanyagiwa na b michambo.sijui umenielewa kaka mkubwa?
Sawa.

Lakini, hakulazimika kujiuzulu.

In fact, hakulazimika hata kuomba msamaha, angeweza kusema mimi kama Spika naongoza muhimili wa kusimamia serikali, na serikali inakopakopa ovyo bila mambo kupitiwa na bunge.

Na watu wengi tu wangeweza kumuunga mkono.

Na hata wasingemuunga mkono, angeweza kusimamia upande wake.

Lakini hakusimamia, kajiuzulu. Kwa udhaifu wake mwenyewe.
 
Back
Top Bottom