Pole, usipate tabu, Bongo tumeendelea sana, Passport na traveling document zinapatikana online, same day or two . Tembelea http://etd.immigration.go.tz/Wanabodi (in Pascal Mayalla voice),
Nimepata safari ya haraka kwenda Nairobi ila passport yangu ni zile za zamani ambazo hazitumiki na siku-renew. Sasa naomba kwa mnaofahamu je ninaweza pata pass ya muda ya kusafiria? Na ninaipata wapi,ni palepale airport au immigration? Maana kwa muda uliobaki ni mdogo sitoweza shughulikia passport na kuipata haraka nataka nikirudi ndio nishughulikie.
Natanguliza shukrani
Asante sana bwana Paskali, nilitaka kujua kwa mimi ambae ntaondokea airport nawezaje kupata maana najua kwa border post unashughulikiwa palepale hata yellow fever vaccine nakumbuka nilichomaga Namanga na ni kipindi passport za zamani zinatumika. Tatizo this time naondokea JNIA ndo maana nikauliza kwa pale kama nitapata pass. Ngoja niingie kwenye hiyo link nione, thanks again kaka mkubwaPole, usipate tabu, Bongo tumeendelea sana, Passport na traveling document zinapatikana online, http://etd.immigration.go.tz/
or kwenye border posts zote, panda basi hadi boda ingia kituo cha OSBP ulizia Immigration, onyesha hiyo pasi iliyoisha muda wake, utapewa mpya. Muhimu ni uwe na vitu ifuatavyo...
1. A Birth Certificate yako.
2. A Birth Certificate or Affidavit of Birth ya mmoja wa wazazi wako.
3. National Identity Card
4. Recent, clear 1 passport size photo (to be uploaded online)
5.A fee of 150,000 for passport and 20,000 for Émergence TD.
P
Sijui muda mdogo ni muda gani, wakiamua hata siku hiyohiyo wanakupatia pasi ya kusafiria, na wakiamua itakuchukua zaidi ya mwaka kuipata. Zinatolewa uhamiaji sio kiwanja cha ndege!Wanabodi (in Pascal Mayalla voice),
Nimepata safari ya haraka kwenda Nairobi ila passport yangu ni zile za zamani ambazo hazitumiki na siku-renew. Sasa naomba kwa mnaofahamu je ninaweza pata pass ya muda ya kusafiria? Na ninaipata wapi,ni palepale airport au immigration? Maana kwa muda uliobaki ni mdogo sitoweza shughulikia passport na kuipata haraka nataka nikirudi ndio nishughulikie.
Natanguliza shukrani
Shukraani mno kwa jibu muhimu ILA hapo ilitakiwa uwe na no 3&5 tu,maana sioni umuhimu wa vitu vingine hivi or iam missing something herePole, usipate tabu, Bongo tumeendelea sana, Passport na traveling document zinapatikana online, same day or two . Tembelea http://etd.immigration.go.tz/
or kwenye border posts zote, panda basi hadi boda ingia kituo cha OSBP ulizia Immigration, onyesha hiyo pasi iliyoisha muda wake, utapewa mpya. Muhimu ni uwe na vitu ifuatavyo...
1. A Birth Certificate yako.
2. A Birth Certificate or Affidavit of Birth ya mmoja wa wazazi wako.
3. National Identity Card
4. Recent, clear 1 passport size photo (to be uploaded online)
5.A fee of 150,000 for passport and 20,000 for Émergence TD.
P
Inaonyesha hujawahi omba passport !. Yaani upewe passport kwa utambulisho wa national I.D only!.Shukraani mno kwa jibu muhimu ILA hapo ilitakiwa uwe na no 3&5 tu,maana sioni umuhimu wa vitu vingine hivi or iam missing something here
Sawa mkuu nimekuelewa mno,lengo langu ilikua ni kutaka kuonyesha urasimu uliopo wa kuomba passport hapa nchini, ID book Ilitakiwa iwe na informations zote maana ndio life book yako, ndio maana nikipewa urais wa 24hrs hii wizara ya home affairs nitaigawa, police ministry (usalama wa ndani/raia)na home affairs (uraia na immigrations)informations zote za raia zitakua Chini ya wizara hii na systems yake itakua inaongea nchi nzima ikiwa ni pamoja na mabenki, traffic department, hospitals, schools etc etc,yaani kokote unakotaka kwenda kupata huduma kitu cha cha kwanza utaulizwa ID book, kwa passport application nikienda na ID book yangu na kuingiza in the systems number yangu lazima informations zote ziwepo, means ni kulipia na kusubiria collection, tutafika hii stage but not now may be vijukuu vyetu.Inaonyesha hujawahi omba passport !. Yaani upewe passport kwa utambulisho wa national I.D only!.
P
Hati za kusafiria za Tanzania hazitolewi kwenye border posts. Zinatolewa kwenye Ofisi za Uhamiaji za Wilaya na Mikoa. Mpakani unaweza kusaidiwa kupata Border Pass, ambayo inakuruhusu kwenda umbali usiozidi kilometa 10 ndani ya nchi unayokusudia kuitembelea ambayo inapakana na Tanzania.Pole, usipate tabu, Bongo tumeendelea sana, Passport na traveling document zinapatikana online, same day or two . Tembelea http://etd.immigration.go.tz/
or kwenye border posts zote, panda basi hadi boda ingia kituo cha OSBP ulizia Immigration, onyesha hiyo pasi iliyoisha muda wake, utapewa mpya. Muhimu ni uwe na vitu ifuatavyo...
1. A Birth Certificate yako.
2. A Birth Certificate or Affidavit of Birth ya mmoja wa wazazi wako.
3. National Identity Card
4. Recent, clear 1 passport size photo (to be uploaded online)
5.A fee of 150,000 for passport and 20,000 for Émergence TD.
P
Mkuu Nkanini, naunga mkono hoja, last year niliandika series za makala ziitwazo "kilio cha haki", nikasema wenzetu wenye National I.D, hawakamatani kijinga jinga na kusokomezana lupango bila sababu za msingi. National I.D iwe ni légal credential ya mtu kujidhamini Polisi , na hakuna haja ya magereza yetu kufurika mahabusu wakati tuna biometric ID Card.Sawa mkuu nimekuelewa mno,lengo langu ilikua ni kutaka kuonyesha urasimu uliopo wa kuomba passport hapa nchini, ID book Ilitakiwa iwe na informations zote maana ndio life book yako, ndio maana nikipewa urais wa 24hrs hii wizara ya home affairs nitaigawa, police ministry (usalama wa ndani/raia)na home affairs (uraia na immigrations)informations zote za raia zitakua Chini ya wizara hii na systems yake itakua inaongea nchi nzima ikiwa ni pamoja na mabenki, traffic department, hospitals, schools etc etc,yaani kokote unakotaka kwenda kupata huduma kitu cha cha kwanza utaulizwa ID book, kwa passport application nikienda na ID book yangu na kuingiza in the systems number yangu lazima informations zote ziwepo, means ni kulipia na kusubiria collection, tutafika hii stage but not now may be vijukuu vyetu.
Border pass ni kwa nchi Kavu majirani zetu na airport huwezi pata.Asante sana bwana Paskali, nilitaka kujua kwa mimi ambae ntaondokea airport nawezaje kupata maana najua kwa border post unashughulikiwa palepale hata yellow fever vaccine nakumbuka nilichomaga Namanga na ni kipindi passport za zamani zinatumika. Tatizo this time naondokea JNIA ndo maana nikauliza kwa pale kama nitapata pass. Ngoja niingie kwenye hiyo link nione, thanks again kaka mkubwa
Kupata passport ya karatasi ukiwa na passport kubwa hata ikiwa imeisha ile ndio dhamana yako utaambiwa lete barua ya mtendaji tu hiyo kwa Longido,Arusha na kule Uhamiaji Mbeya madereva malori wanachukua kwa mfumo huo anapata control number akilipa anaandikiwa karatasi yake safari inaendelea...Inaonyesha hujawahi omba passport !. Yaani upewe passport kwa utambulisho wa national I.D only!.
P
Exactly mkuu hii ndio ilikua ndio point yangu,mabadiliko nchi hii bado tunayahitaji mno na hizi ID book/card ndio moja ya vitu tunavyovihitaji mno ,hizi kesi za kupambikiana za uraia zitakoma,mtoto akizaliwa tu na kabla mama hajaruhusiwa kurudi nyumbani ni LAZIMA mtoto huyu awe na birth certificate yenye ID number, number hii ndio itakua kama Jina lake, ataishi na kufa na ID number hii!Mkuu Nkanini, naunga mkono hoja, last year niliandika series za makala ziitwazo "kilio cha haki", nikasema wenzetu wenye National I.D, hawakamatani kijinga jinga na kusokomezana lupango bila sababu za msingi. National I.D iwe ni légal credential ya mtu kujidhamini Polisi , na hakuna haja ya magereza yetu kufurika mahabusu wakati tuna biometric ID Card.
Mtu ukiisha kuwa issue a national I.D, birth certificate na affidavit ya mzazi ya nini kwenye maombi ya Passport ?.
PKumbe DPP kutenda haki kunawezekana! Hongera sana, kazi umeianza vizuri. Sasa haki sio tu inatendeka, inaonekana! Kazi Iendelee…
Wanabodi, Naendelea na zile makala zangu za "Kwa Maslahi ya Taifa", nikiangazia suala zima za utoaji haki nchini, ambapo makala hii ni muendelezo wa ushauri kwa DPP, ulioanza wiki iliyopita. Wanasheria wana vimisemo vyao vingi vingi vya kisheria, vingi viko kwenye lugha ya Kilatini, na...www.jamiiforums.com
Thanks mkuuHizo temporary passport za kusafiri East Africa zinapatikana immigration hata ndani ya nusu saa. Ili mradi uwe na documents wanazohitaji.
No ya nida, cheti chako Cha kuzaliwa, Cha mzazi au kiapo Kama mzazi Hana cheti Cha kuzaliwa, passport pic na elfu 30. Hapohapo unapewa kijikaratasi Chao oops Temporary traveling document
Bila shaka kwa nchi za jirani pekeeIla ile hati ya dharura ya kusafiria nikiwa nayo si naweza tumia kusafiri kwa flight?
Mkuu Nkanini, naunga mkono hoja, last year niliandika series za makala ziitwazo "kilio cha haki", nikasema wenzetu wenye National I.D, hawakamatani kijinga jinga na kusokomezana lupango bila sababu za msingi. National I.D iwe ni légal credential ya mtu kujidhamini Polisi , na hakuna haja ya magereza yetu kufurika mahabusu wakati tuna biometric ID Card.