JNIA among Africa's worst airports

JNIA among Africa's worst airports

Pamoja na le profeseli kutalii kote huko hajifunzi tu kwa wenzake?
 
Hawa watoto hawana adabu,yaan wametulia mpaka jina la muasisi linatukanwa namna hii.
 
Hii tafit ni ya uwongo Murtala Muhammad ya Nigeria ni one of the best in Africa and how come iko tena kwenye list. ......nina shaka na hiyo list
 
My question is, who perfomed this survey!
Well, we are not immune from some of the problems as enumerated above, but really comparing us to Nigerian Airports is way too embarrassing.

I have been to Nigeria sevaral times and its not a surprise to rub shoulders with cockroaches from the toilets down to the aicraft seat!

When you talk of domestic flights in Nigeria, it has little or no difference to commuter buses or Matatu in Kiambuu.

Well, if our neighbors are part of this, what could we expect!!

hata ukiangalia hiyo report NIGERIA ndio imeainishiwa viwanja vingi vyenye adha mkuu...
 
nakumbuka nilizidisha kilo mbili... jamaa eti ananiomba pesa ya bia....!! nilimshangaa kweli .. mi ustadh mzima nimpe pesa ya bia...? walishawahi pia kuniibia vitu vyangu pale... kuweni makini sana na hiyo airport ya dar
 
Hata terminal three wakijenga kama vyoo havisafishwi,na viyoyozi visipo karabatiwa,hali itakuwa kama terminal two.Cha msingi wahusika wawajibishwe na kufatiliwa mara kwa mara kuboresha ufanisi.Huu ni idhalilishaji wa nchi yenye Rais aliyevunja rekodi ya kutua viwanja vyote vya ndege duniani,kwake kuna uwanja wa mwisho kwa ubora.Hataree
 
Wahusika wameliona hilo ndio maana wanajenga terminal 3 itakayokuwa na ubora zaidi. Hofu yangu ni kwenye rushwa tu, sijui kama wahusika wanaweza kukabiliana nayo.

Labda tufahamishe kwa nini hawasafishi vyoo vya terminal two hadi vinanuka? Nini kinakuaminisha vyoo vya terminal three vitasafishwa?
 
Wahusika wameliona hilo ndio maana wanajenga terminal 3 itakayokuwa na ubora zaidi. Hofu yangu ni kwenye rushwa tu, sijui kama wahusika wanaweza kukabiliana nayo.
Hiyo Terminal 2 siyo ya zamani sana kiasi hicho. Kwa hiyo hata Terminal 3 haitachelewa kuwa slum kama 2.
 
Cha ajabu hawa bandugu kila siku wanapita hapo wakitokea pande tofauti za ulimwengu kwa kweli huwa nashindwa kuelewa kwanini hawachukui mfano kutoka kwa wenzao! ina maana hakuna wanachojifunza? Wamekosa haya? au ni kiburi?.

JNIA ni uozo(samahani kwa nitakaemkwaza/nitakaowakwaza) ukiwa nje ya nchi hata baada ya muda mfupi ukidondoka ile hewa nzito unayokaribishwa nayo kwa kweli ni adhabu
 
Hii ni changamoto zaidi kuliko kuwa tatizo. Ungetegemea baada ya taarifa hiyo uongozi au mamlaka ya viwanja vya ndege uchukue hatua. Sisi kweli ni maskiini lakini ndiyo tushindwa hata kufanya usafi unaostahili. Kwa mfano kuondoa harufu mbaya kutoka vyooni ili hali wateja wetu tunawatoza kodi nalo tumeshindwa, Viongozi wetu wengi hutekeleza majikumu yao kana kwamba kesho hawatakuwepo. Kiwanja cha ndege cha Dar kinapokuwa kichafu kinatoa taashwila ya hali ilivyo nchini ikiwa ni pamoja na ofisi za serikali. Basi viongozi tuondoleeni aibu hiyo kwa ninyi wenyewe kwanza kuukata uchafu na harufu mbaya.
 
Mkuu, hiyo list kaiandaa MTU wa kiambuu mini?
 
Mkuu hao policy makers huwa wanapita VIP Terminal. Nasikia ilijengwa na wachina. Hawajui habari ya kule kwingine kajamba nani.
 
Viwanja vibovu viko vingi tu Africa afadhari hata JNIA hasa Africa magharibi na kusini kama Zambia Malawi watu wanachuki binafsi na Tanzania..
 
My question is, who perfomed this survey!
Well, we are not immune from some of the problems as enumerated above, but really comparing us to Nigerian Airports is way too embarrassing.

I have been to Nigeria sevaral times and its not a surprise to rub shoulders with cockroaches from the toilets down to the aicraft seat!

When you talk of domestic flights in Nigeria, it has little or no difference to commuter buses or Matatu in Kiambuu.

Well, if our neighbors are part of this, what could we expect!!

Paka Jimmy, it is madness for a sickman to compare himself favourably against another sickman. Naomba "tijilinganishe na wazima ndugu yangu"
 
Back
Top Bottom