observation yako ni ukweli mtupu. nilimuambia Mtu mmoja kusini kuna magari ambayo ni luxury kuliko hata barabara ya Dar Arusha.
Unaweza kuwa na idadi ya wanafunzi 50 ambao ni wahitimu wa kidato cha nne katika shule yako na wote wakawa wamefaulu kwa alama ya Div 1 & 2 hakuna chini ya hapo. Kisha shule fulani ikawa ina wanafunzi 125 na kuna alama za Div 1, 2, 3 & 4.
Shule bora ni ipi hapo?? Tafakari!!!!chukua hatua.
Siku ya kwanza kwenda Ruangwa nilipanda ZAMZAM,tunafika Mkuranga likaharibika,tulikaaa 6 hrs.saa sita unusu mchana ndo linakuja BASI LINGINE KUJA KUFAULISHA,mwenyeji wangu akanambia basi la UHAKIKA NI WIFI,ndo nayatumia kwa sasa safari za kwenda na kutoka ruangwa,hakuna soda,hakuna chai,hakuna juisi ila nalikubali sanawifi amejiimarisha ruti ya Dar-Masasi, Dar-Ruangwa na sasa ana ruti mpya ya Dar-Mangaka
Nimekusoma Mkuuu.
Wa mwisho atakuwa wa kwanza.
Imeshaandikwa hiyo.
Kirefu cha JM ninn
Nimegundua kitu, wewe ni mbishi tu kwa kuwa umeamua kuwa mbishi. Endelea kuamini hivyo uaminivyo.mfano wa wanafunzi wa nini sasa twende kwenye maada husika sio tunaruka vihunzi kusini kuna luxury buses sawa ila kaskazini zipo nyingi zaidi mara 10 ya kusini
nimekutajia hapo kampuni 10 na kila kampuni ina basi slasic mfano bufalo ana basi sita tatu zinapanda tau zinashuka na zote ni luxury metro ana basi sita na zote ni luxury. hayo ni baadhi.
labda tuhesabu idadi ya hizo clasic za kusini na kaskazini tuone nani zaidi.
na nina uhakika hakuna kampuni huko kusini inayopeleka gari zake 6 kwa siku na zote ziwe luxury.
Masikini Dar Express imekufa..
Usafiri wa mabasi kwenda mikoani umeanza baada ya kuja kwa Yutong? Serious?Wengi humu naona mnapiga kelele tu, root ambayo ki ukweli mda mrefu sana imekuwa na standard and luxury buses (all time root with luxury buses) ni root ya Dar-Mby. Katika safari zangu za miji mikubwa ya Tz yaani Mwz,Mby,Aru na Dom, Mby ni funiko. Kwanza ndio root ya kwanza kuwa na bus luxury za yutong na baadae zhongtong.
Tashirifu pia inatoa huduma nzuri kwenda Tanga kunani bila kusahau Bazuu v.i.p
Nimegundua kitu, wewe ni mbishi tu kwa kuwa umeamua kuwa mbishi. Endelea kuamini hivyo uaminivyo.
waambie ndg. hiyo ni dar tanga dar. RATCO EXPRESS. Basi lina madaraja ndani kwa ndani. wajaribu kulinganisha na wanayoyasifia hapa
Joel Mabiba, jina la mmiliki wa mabasi hayo na ni mtu wa Mby
Kweli bhana nkuu, picha zingeongea zaidi. Halafu hilo jina lako linanikumbusha miaka dahali nyuma nishakula sana nikiwa Msimbati.
Msimbati kuishi kwangu kote Mtwara enzi hizo mwisho ni pale ZiwaniKweli bhana nkuu, picha zingeongea zaidi. Halafu hilo jina lako linanikumbusha miaka dahali nyuma nishakula sana nikiwa Msimbati.
mie nipo siriasi nakwenda Kusini karibuni, basi kali kuliko yote ni lipi? (haijalishi bei)