Lamomy
JF-Expert Member
- Sep 4, 2023
- 39,773
- 95,777
Em elezea kwanza nione km kweli 😹😹Uduguu nionee huruma hata kidogo, 😂😂😂
Em elezea kwanza nione km kweli 😹😹Uduguu nionee huruma hata kidogo, 😂😂😂
Sasa mbona huwa unatembea haraka haraka hadi watu wanafikiri unawahi kwenda kumpikia mumeo.Mimi sina ex hivyo sikumbuki chochote..!!
Subiri nitarudi, 😂😂😂Em elezea kwanza nione km kweli 😹😹
Haya bhana. 😂😂😂Yaani imebidi tu nicheke🤣
Hadi saa ngapiBadoo.
Anapoteza mudaDuh🤣
Week ijayoHadi saa ngapi
Mimi na wewe tumeanza na tutamaliza pamoja inshAllah 😎Mlianza na nani?
SawaWeek ijayo
Utani wa kijinga nilikukataza, tafuta mataahira wenzio mtaniane..!!Mimi na wewe tumeanza na tutamaliza pamoja inshAllah 😎
OukSawa
Ooh! Nisamehe, nimejisahau!Utani wa kijinga nilikukataza, tafuta mataahira wenzio mtaniane..!!