JJ wa J Member Nov 30, 2016 5 0 Nov 30, 2016 #1 Babari za humu wapendwa me naomba kujliza jkt inaanza mwezi wangapi kutoa nafasi kwa vijana wakujitolea?
Babari za humu wapendwa me naomba kujliza jkt inaanza mwezi wangapi kutoa nafasi kwa vijana wakujitolea?
frmjohn Member Nov 27, 2016 16 13 Nov 30, 2016 #2 JJ wa J said: Babari za humu wapendwa me naomba kujliza jkt inaanza mwezi wangapi kutoa nafasi kwa vijana wakujitolea? Click to expand... Duuuuh mkuuu,,,,,,ndo kwanza kesho Wanaanza kuriport vijana wa kujitolea ambaO walifanYa usaili mwezi April mwa huu,,,
JJ wa J said: Babari za humu wapendwa me naomba kujliza jkt inaanza mwezi wangapi kutoa nafasi kwa vijana wakujitolea? Click to expand... Duuuuh mkuuu,,,,,,ndo kwanza kesho Wanaanza kuriport vijana wa kujitolea ambaO walifanYa usaili mwezi April mwa huu,,,
JJ wa J Member Nov 30, 2016 5 0 Dec 1, 2016 Thread starter #3 Ahaa sawa mkuu na je usaili uhnaofuata utafanyika mwezi gani tena