JKT: Sijawaelewa

JKT: Sijawaelewa

Dogo anaulizwa.
1.kwanini umeamua kujiunga na Jkt?

2.Uzalendo ni nini?

3.Eleza maana ya kujitegemea?
Hakuna hata swali moja alojibu kwa ufasaha sasa mtu kama huyo asaidiwe vipi.

Kweli mkuu?
 
ajira za bongo utata kipindi cha nyuma nafasi hizi hazikuwa zikigombaniwa lol haya maisha bora hayo
 
Ulikuwa haujui tu jeshini siku hiz wanapelekana kwa kujuana we kama hauna ndugu soja tafuta sekta nyingine. Hata hivyo wafanyisha usaili wamesha zoea lawama kama zako.ila asikate tamaa ajaribu mwakani tena maana anaruhusiwa.pia kuna watakao taka polisi magereza hiv karibuni akajaribu kama anataka.
 
pole mkuu,tatizo sio fani wala matokeo ya form four ,vipo vigezo vingi sana ambavyo wengi hatuzingatii,inawezekana ukawepo ubatili,but kama ana sifa aende mkoani cku ambayo wenzake wanaenda,hakikisha afya njema,magonjwa hadi muonekano usilete mashaka,amezaliwa kati ya mwaka 1991 hadi 1995,awe na vyeti original vyote,living,academic,birth na cheti za ujuzi kama anacho atafikiriwa,
 
Usimpe matumaini hewa mwenzio.
TATIZO kubwa ni uchache wa nafasi kwa mfano mkoa mzima wanatoa nafasi 100 kwa mgawanyo ufuatao-
1.form six 10
2.form four 75(wasichana 25,wavulana 50.
3.std seven 15(wasichana 5,wavulana 10.
HEBU jiulize kwa mchanganuo huo hapo na waombaji wanaweza kufikia 300 kama wewe ndo muhusika wa kutafuta hao vijana unafanyaje.
 
kwa 4 ya 28 ana nafas kubwa sana,mgawanyo huo sio lazima ufuatwe ni rough assumption but kama watapata wengi bora zaid wanapunguza ya wasio na fani na elimu ndogo idadi kwan hawawezi kukazania kuchukua namba ya la saba baada ya koz warud nyumban bali watachukua wale ambao wapo kwenye mstari wa ajira wa serikali,four ya 28 ataajiriwa tu nina imani,just go>>
 
Acha ubishi basi mambo ya jeshi tofauti na unavyoyachukulia wewe.

Kwa utaratibu wa jeshi wanaenda na maagizo toka ngazi za juu wewe hiyo four ya 28 ndo unaiona kubwa?
Wengine wapo div three wameachwa.

Lazima wafuate maagizo.
 
Mfano,Mkoa umepata nafasi 100.
Mkoa una wilaya 5
ina maana kila wilaya itapata nafasi 20.
Ktk hizo nafa 20 wanapewa maelekezo
std 7 wavulana 3
std 7 wasichana 2
form 4wavulana 7
form 4 wasichana 5
form six wavulana 3
form six wasichana 2
Wakipatikana hao 20 wanaweza wakaweka wa akiba kwa kila nafasi kwenda ktk usaili wa mkoa.
 
Jamani, kuna vigezo vingi ikiwepo afya ya mtu pamoja na ukamilifu katika maeneo yote ya mwili! Usijali, nafasi bado zipo nyingi katika maeneo mengine sio jkt tu! Endelea kuwaombea naamini Mungu atatenda kwa wakati wake!
Ubarikiwe...................!
 
Natanguliza heshima kwa wakubwa wng. Hivi karibuni ziliyangazwa nafasi za kujiunga na Jeshi la Kujenga taifa Sasa kama kawaida nikawajulisha wadogo zangu wafanye application cha ajabu ni kwamba zile interview ni magumashi kwani vijana wenye sifa wanaachwa na wenye mikono mirefu wanapita. Inauma sana kwani dogo alikuwa na sifa za ziada tofauti na elimu ya kidato cha nne mfano ana level 1 hadi 3 ya umeme na driving lkn ndo ivo kakosa. Dah nimeumia xna.

Walipotoa tangazo walitoa na list ya sifa za ziada?
 
kama unajua anasifa ungemfanyia wewe mwenyewe au fungua mashitaka na siyo kuja kulalamika huwezi kuleta ujuaji kwenye kazi za watu kwani sifa za ziada ndio nini umeambiwa na nani kuwa kule wanatengea umeme
swala la kuajili mtu mwenye ujuzi wa ziada ni suala la mwajili na inategemea mahitaji yake

usibishe kaka kwenye ule mchakato ubabaishaji mwingi tu.
 
Back
Top Bottom