JKT nomaaa

JKT nomaaa

Unafunzwa kutojali hali au mazingira ...yaani hata kwenye maji machafu unalala ili kumvizia adui au kukwepa risasi ya adui...

Kwani kawaida Adui akija utashindwa kujifcha kwasababu kuna tope
 
hilo zoezi ni la nini? na linamaana gani? kwasababu mm najua kila zoezi linamaana yake ila hilo zoezi la kugalagala kwenye vumbi sijalielewa maana yake nini.
wee macho yako yanaonesha wanagalagala kwenye "vumbi"?! kumbe nimezeeka aisee
 
mbn vizoez vya kitoto sana ivyo TMA ndo kuna mazoezi sasa acha makamanda wamenielewa...
 
inanikumbusha maramba iyo 838 kj tanga moja iyo, kwel maisha safar ndefu ,wak wap wanangu wa eagle coy pt ya tatu , nyie ndo masojaaaaaaaaaa!!
 
Dah!! Inanikumbusha mbali sana pale 841 kj chini ya mbabe wa kivita E.Malembo, Lt nkya , 2lt liund, Oc Charlie coy chini ya makamanda William sagara, patrc luta aiseee!!
Ww bila shaka utakuwa utakuwa op kilimo kwanza
Maana 841 kj co alikuwa marehemu mmary alivyoondoka ndio akaja huyo malembo na op yake ya kwanza ndio hiyo kilimo kwanza ndio ya zamani sana
 
Back
Top Bottom