GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 63,710
- 128,215
hilo zoezi ni la nini? na linamaana gani? kwasababu mm najua kila zoezi linamaana yake ila hilo zoezi la kugalagala kwenye vumbi sijalielewa maana yake nini.
Mkuu hilo unaloliona hapo siyo Vumbi bali ni Tope na wametoka kuhenyeshwa vibaya mno na Makamanda wao ila faida yake utakuja kuiona ukishafuzu hayo Mafunzo.