Charles Gerald
JF-Expert Member
- Mar 31, 2016
- 1,394
- 1,816
Duh, cheka sana mimi!!Papuchi inakula tope kama haina akili nzuri vile.
we jamaa ni ex mgambo nini?ma ovyo ovyo hayo kawaida hapo wanafanya introduction
Wenzie walikuwa wanaenda kwa staili ya kuchuchumaa yeye kashindwa yaani hapo liwalo na liwe.Huyu aliyezungushiwa ana shida gani...!!!
Hahahah noma sanaaWenzie walikuwa wanaenda kwa staili ya kuchuchumaa yeye kashindwa yaani hapo liwalo na liwe.
Hahaha mkuu sio mbaya bhana sema "Shakira"Afandeee njooo yanaleta mapuuza huku.....Afande wamekutukanaaaa eti wanasema wewe ni mbaya
Unafunzwa kutojali hali au mazingira ...yaani hata kwenye maji machafu unalala ili kumvizia adui au kukwepa risasi ya adui...hilo zoezi ni la nini? na linamaana gani? kwasababu mm najua kila zoezi linamaana yake ila hilo zoezi la kugalagala kwenye vumbi sijalielewa maana yake nini.