Hawa vijana ni mburukenge kabisa..hivi nani aliwaambia wakienda JKT serikali itawapa ajira?
Sasa wewe unaona ni sawa kila raia asiye na ajira aende kuidai Ikulu? hii ni akili au matope?hivi unajiua tawala nyingi zinaanguka kwa tatizo la ajira na matatizo ya kiuchumi? usilichukulie hili suala kimzaha
Hawa wanataka eti wachukuliwe JWTZ wakanywe bia za bukubuku! Nchi hii imejaa vilaza wasiotaka kuumiza vichwa.Mkuu hawa watu wanatumika kisiasa haiwezekani vyombo vya habari vinawapa promo wakati malengo ya JKT yako wazi pengine mimi nimepitiwa na niko tayari kurekebishwa kwa hili ni Ajira zipi wanazitaka? na Kupita JKT ndo umekua certified kufanya kazi serikalini if anayo proffesional nyingine?
Hawa wanataka eti wachukuliwe JWTZ wakanywe bia za bukubuku! Nchi hii imejaa vilaza wasiotaka kuumiza vichwa.
Hawa kunawatu wako nyuma yao Haiwezekani Leo hii udai ajira wakati huna mkataba na Serikalini kwamba ukimaliza Jkt unapata kazi basi wote waliosomeshwa na Serikali vyuoni waingie barabarani na kudai serikali ilinisomesha ili iniajiri.
Jwtz wanaitarajia iajili vijana kutoka jkt, kutu ambacho hawakifanyi kwa sasa kwani wanaajili nje ya jkt na mbaya zaidi nafasi hizo huuzwa kwa wenye pesa au huwapa ndugu zao.Hawa wanataka eti wachukuliwe JWTZ wakanywe bia za bukubuku! Nchi hii imejaa vilaza wasiotaka kuumiza vichwa.
Jwtz wanaitarajia iajili vijana kutoka jkt, kutu ambacho hawakifanyi kwa sasa kwani wanaajili nje ya jkt na mbaya zaidi nafasi hizo huuzwa kwa wenye pesa au huwapa ndugu zao.
Ntajie Kikosi kilichopo msitu wa Mabwepande au Msitu wa KazimzumbwiMisitu gani wataingia wakati misitu yote kuna makambi na vituo vya kijeshi
Mambo ya kutekana yashazoeleka,Nasikia kiongozi wao katekwa tayari, na kachomwa sindano za kupoteza kumbukumbu.
Hapo napo patamu,watu waliopata mafunzo ya Kijeshi wanazidi kuongzeka mtaani,pia ni hatari,tofauti na miaka ya 70-80 ukimaliza JKT unaenda Chuoni au Kazinikwa mujibu wa JKT "Moja ya kipengele cha masharti ya kujiunga na JKT kinasema kuwa ‘Kwa kipindi chote nitakachokua ndani ya Jeshi la Kujenga Taifa nitakuwa nafanya mafunzo ya kijeshi na ya stadi za kazi na maisha, na baada ya mkataba nitarejea nyumbani. Hivyo sitalidai Jeshi la Kujenga Taifa ajira, wala kulitaka linitafutie ajira/kazi'."
Kunavitu ambavyo sijavielewa na nimejaribu kupitia malengo ya uanzishwaji wa JKT ni kutoa mafunzo kwaajili ya kuajiriwa na serikali na kama ndio je ni Ajira zipi ambazo zinawafaa hawa JKT?
Wanatumiwa na nani sasa?jamani tusiwe na majibu mepesi saaanaMkuu hawa watu wanatumika kisiasa haiwezekani vyombo vya habari vinawapa promo wakati malengo ya JKT yako wazi pengine mimi nimepitiwa na niko tayari kurekebishwa kwa hili ni Ajira zipi wanazitaka? na Kupita JKT ndo umekua certified kufanya kazi serikalini if anayo proffesional nyingine?
walikua na mkataba na Serikali Iwapo watamaliza JKT wataajiriwa na Serekali?Wanatumiwa na nani sasa?jamani tusiwe na majibu mepesi saaana
Wanatumiwa na nani sasa?jamani tusiwe na majibu mepesi saaana