Kamanda Kazi
JF-Expert Member
- Dec 15, 2012
- 2,613
- 798
Chondechonde watumie vema kodi zetu wananchi ambazo walitumia kambin hawa vjana.
Jwtz wanaitarajia iajili vijana kutoka jkt, kutu ambacho hawakifanyi kwa sasa kwani wanaajili nje ya jkt na mbaya zaidi nafasi hizo huuzwa kwa wenye pesa au huwapa ndugu zao.
Hawa vijana ni mburukenge kabisa..hivi nani aliwaambia wakienda JKT serikali itawapa ajira?