JKT: Mchezo wa ndama utaamsha madume

JKT: Mchezo wa ndama utaamsha madume

Hawa vijana ni mburukenge kabisa..hivi nani aliwaambia wakienda JKT serikali itawapa ajira?
ndg zama za kushawishi vijana wajiunge JKT kwa lengo la kudumisha uzalendo na ukakamavu zishapitwa na wakati.zama hizi JKT bila mapango chanya kwa wahitimu ni kazi bure.matokeo yake ndio kama haya tunayo yashudia leo.
 
Nahisi hawakuelimishwa vizuri kuhusu malengo ya JKT.Inawezekana walilazimishwa na hivyo hawakuona haja ya kusoma huo mkataba kwa undani.
Wengi wao labda walikuwa na matarajio ya kufaulu mitihani lakini ikashindikana!
Solution nadhani ilikuwa kuwaita na kuwaelimisha.Pia wangepewa kipaumbele kwenye baadhi ya majeshi kama polisi,JWTZ,huko TANAPA na kwingineko!
Otherwise lazima watajiona walipotezewa muda bure na labda hawajapata skills zozote za kujiajiri.
All in all,the gavernment has to resume its natural parental responsibilities.
Mkuu hawa watu wanatumika kisiasa haiwezekani vyombo vya habari vinawapa promo wakati malengo ya JKT yako wazi pengine mimi nimepitiwa na niko tayari kurekebishwa kwa hili ni Ajira zipi wanazitaka? na Kupita JKT ndo umekua certified kufanya kazi serikalini if anayo proffesional nyingine?
 
walikua na mkataba na Serikali Iwapo watamaliza JKT wataajiriwa na Serekali?
To what extent mafunzo ya kijeshi wanayapata ni swala la msingi kwa fikra zangu ndogo lengo kuu lilikua hili la kuwaweka pamoja vijana wa nchi hii na kuwapa malezi kuhusu uzalendo na umoja ili kuondoa dalili za matabaka zilizoanza kujitokeza katika jamii baada ya uhuru

Mdau kdc swali langu hujalijibu hawa vijana wanatumiwa na nani?
Mimi shaka yangu ni kwamba tuna wanajeshi wasio na kazi huku mitaani,what next?zamani waliokuwa wakihitimu waliajiriwa moja kwa moja kwakua fursa za ajira zilikuwepo hakukua na waliokua wakijiajiri,je hawa wa sasa baada ya mafunzo yao huko makambini wamewekewa strategies zipi za wao Kujiajiri?utamfundisha Kilimo its good,but anahitaji capital je anayo?utamfundisha ufundi its fine atatoka na ujuzi wa ufundi ila hana pa kuanzia,nadhan waliobuni kurudisha JKT waliangalia one side na hawakuangalia the other one which is very bad
 
Last edited by a moderator:
ndg zama za kushawishi vijana wajiunge JKT kwa lengo la kudumisha uzalendo na ukakamavu zishapitwa na wakati.zama hizi JKT bila mapango chanya kwa wahitimu ni kazi bure.matokeo yake ndio kama haya tunayo yashudia leo.

Panya road wenyewe tu ilikuwa shuhuli pevu hapa, je ma-JKT? labda wanadhani kwakuwa hakuna kijana wa JKT pale aliyepewa mafunzo ya makomandoo, komandoo mmoja tu anaweza kuwasambaratisha wote kwa ujumla wao. Hata hivyo sisiminzi ni wadogo sana lakini wanaringia wingi wao katika kumkabili mnyama tembo, kama hatuna mipango madhubuti kuhusu aina ya ujuzi, mitaji na usimamizi wa vijana hawa wanaomaliza JKT ni bora tusimame kwanza kutoa mafuzo ya kijeshi kwao, kwani makundi ya sereka na antibaraka kule Afrika ya kati yalikuwa ya vijana wahuniwahuni tu.
 
Ulinzi wa Taifa

  • Kuwapa vijana mbinu za kijeshi wawe Jeshi la akiba, kuwaandaa vijana watakaofaa kujiunga na vyombo vingine vya Ulinzi na Usalama.
  • Kuwaandaa vijana kusaidia katika majanga mbalimbali, mfano mafuriko, moto na ajali mbali mbali.
Mkuu ldc,vurugu na maandamano ya watu hasa vijana KUDAI kile wanachokiita kuwa ni haki yao ya kupata/kupatiwa ajira/kazi zimekuwapo kwa muda mrefu hasa nje ya tanzania,vijana kuandamana kudai ajira ni jambo lililozoeleka huko ughaibuni,kwa kuwa kuna sheria inayowalinda,kwa hapa bongo unahitajika kuwa na kiwango fulani cha ufahamu(wa juu?)Pamoja na USHUPAVU wa hali ya juu ili uweze kuwa face wakuu wa nchi na kuwaambia matatizo yako,kwa kuwa maneno kama "umetumwa" "kuna mtu yuko nyuma yako,nk ni yakutazamiwa kwa kiwango cha juu sana, mtu anayeiomba serikali imsaidie kupata riziki halali anatekwa,anateswa,na kisha kuulizwa kama "ametumwa na chadema!!! Hawa "NDAMA! Unaowaona leo wanataka kuzama kwa mkulu 'kumtonya'maswhibu yao ni matokeo ya wao kuwa miongoni mwa wachache sana waliobahatika kupata nyenzo hizo mbili,yaani ufahamu na ukakamavu,na ndama wenu watawaalika na ndama wengine ambao si wa zizi lao waje kucheza pamoja,na baadaye wale kaka zao(madume)watavutiwa siyo tu kuwa washangiliaji!! Bali kuwa waalimu wa michezo mingine ambayo ndama hawaijui!! SIJATUMWA
 
ukosefu wa ajira ni bomu.litakalolipuka muda mfupi ujao, serikali iangalie kwa makini
 
walikua na mkataba na Serikali Iwapo watamaliza JKT wataajiriwa na Serekali?
To what extent mafunzo ya kijeshi wanayapata ni swala la msingi kwa fikra zangu ndogo lengo kuu lilikua hili la kuwaweka pamoja vijana wa nchi hii na kuwapa malezi kuhusu uzalendo na umoja ili kuondoa dalili za matabaka zilizoanza kujitokeza katika jamii baada ya uhuru

Mdau kdc swali langu hujalijibu hawa vijana wanatumiwa na nani?
Mimi shaka yangu ni kwamba tuna wanajeshi wasio na kazi huku mitaani,what next?zamani waliokuwa wakihitimu waliajiriwa moja kwa moja kwakua fursa za ajira zilikuwepo hakukua na waliokua wakijiajiri,je hawa wa sasa baada ya mafunzo yao huko makambini wamewekewa strategies zipi za wao Kujiajiri?utamfundisha Kilimo its good,but anahitaji capital je anayo?utamfundisha ufundi its fine atatoka na ujuzi wa ufundi ila hana pa kuanzia,nadhan waliobuni kurudisha JKT waliangalia one side na hawakuangalia the other one which is very bad
 
Last edited by a moderator:
Mdau kdc swali langu hujalijibu hawa vijana wanatumiwa na nani?
Mimi shaka yangu ni kwamba tuna wanajeshi wasio na kazi huku mitaani,what next?zamani waliokuwa wakihitimu waliajiriwa moja kwa moja kwakua fursa za ajira zilikuwepo hakukua na waliokua wakijiajiri,je hawa wa sasa baada ya mafunzo yao huko makambini wamewekewa strategies zipi za wao Kujiajiri?utamfundisha Kilimo its good,but anahitaji capital je anayo?utamfundisha ufundi its fine atatoka na ujuzi wa ufundi ila hana pa kuanzia,nadhan waliobuni kurudisha JKT waliangalia one side na hawakuangalia the other one which is very bad

Kama masharti ni

Masharti ya Kujiunga na JKT kwa vijana wa Kujitolea
Kijana kabla ya kujiunga na JKT hutakiwa kuyajua masharti na kuzifahamu taratibu za kujiunga na kuelewa kuwa JKT halitoi ajira.

Moja ya kipengele cha masharti ya kujiunga na JKT kinasema kuwa ‘Kwa kipindi chote nitakachokua ndani ya Jeshi la Kujenga Taifa nitakuwa nafanya mafunzo ya kijeshi na ya stadi za kazi na maisha, na baada ya mkataba nitarejea nyumbani. Hivyo sitalidai Jeshi la Kujenga Taifa ajira, wala kulitaka linitafutie ajira/kazi'.

Wakati wa kujiunga ulikubaliana Sharti hili Leo hii uandamane kudai ajira kwa maandamano? Kuhusu vifaa na capital hao wanaomaliza SUA UDSM VETA na vyuo vingine waandamane kudai mitaji na kuajiriwa na serikali?
 
Haki yao kusikilizwa...na si kutekwa,me nadhani unapomteka mtu si suruhisho la tatizo,tatizo linaendelea kuwepo,issue ni kulisolve tatizo kwa maradhiano ya pande zote kwa weledi na si kwa nguvu.
 
Kama masharti ni

Masharti ya Kujiunga na JKT kwa vijana wa Kujitolea
Kijana kabla ya kujiunga na JKT hutakiwa kuyajua masharti na kuzifahamu taratibu za kujiunga na kuelewa kuwa JKT halitoi ajira.

Moja ya kipengele cha masharti ya kujiunga na JKT kinasema kuwa ‘Kwa kipindi chote nitakachokua ndani ya Jeshi la Kujenga Taifa nitakuwa nafanya mafunzo ya kijeshi na ya stadi za kazi na maisha, na baada ya mkataba nitarejea nyumbani. Hivyo sitalidai Jeshi la Kujenga Taifa ajira, wala kulitaka linitafutie ajira/kazi'.

Wakati wa kujiunga ulikubaliana Sharti hili Leo hii uandamane kudai ajira kwa maandamano? Kuhusu vifaa na capital hao wanaomaliza SUA UDSM VETA na vyuo vingine waandamane kudai mitaji na kuajiriwa na serikali?
Ndo tunarud pale pale kdc kwamba hawa wahitimu wa JKT (Wanajeshi wasio na kazi) watunga sera hawakuangalia athari zao za side B, bora hao wa SUA kwa sasa kuna mpango wa kuwakopesha.
Hawa wa JKT hata wasipoandamana ila huku mtaani watasumbua hata kimyakimya,leo wameandamana au wanataka kuandamana tumeskia ila wakiandamana kimyakimya ndo itakua balaa.Japo kuna hivyo vipengele ulivyoviainisha hapo juu lakini mtu alopata skills za kijeshi kukaa idle ni hatari sana kuliko alopata skills nyingine yoyote.
 
Last edited by a moderator:
Hapa tatizo ni serkali. Mtu anapiga mguu pande sawa 2 sold yrs halafu unaongea kwa lugha nyepesi. kwamba arudi village akalinde. godown la kjj lililohifadhi mahindi ya lohifadhiwa baada ya kuuzwa na bb zake kwa mkopo. atakuelewa? Mbona tuna mafunzo ya mgambo kila kjj. nchi nzima?si wangewaacha vjjn wakajua kwamba no ajira baada ya kumaliza mafunzo?tutafakari mara mbili. kabla ya kutoa majibu mepesi. kwa maswali magumu.
 
Kuna methali inasema mzarau mwiba mguu houta tende ... Ndo tunakoelekea.Akitokea mwehu Wa kuwafadhili hawa tutapata shida kama inchi kwenye suala LA usalama.Am sure kuna maagano waliingia ndo wonder wanataka andamana.Kila Leo majangiri wanamaliza Tembo pelekeni hawa jamaa uko.
 
Hawa vijana ni mburukenge kabisa..hivi nani aliwaambia wakienda JKT serikali itawapa ajira?

mkuu mbona umetumia.kauli kali sana aisee.

sasa kama sio serikali kuwapa ajira nani atawapa sasa.
utaratibu unafahamika na jk aliagiza kuwa vyombo vyote vya usalama nchini vichukue hawa vijana walio hitim jkt lakini matokeo yake waliopewa dhamana hiyo serikalini wanachukua rushwa kwa raia wa kawaida na kuwapa nafasi hizo mfano uhamiaji,polisi,jwtz,askari magereza, n.k walikuwa wanatakiwa kuwachukua hawa vijana walio hitimu haya mafunzo kwa kuwa serikali inanuka rushwa hawafanyi hivyo so nani wakulaumiwa hapa??.

mkuu wacha kukurupuka wewe.
wanataka kwenda kuonana na boss wao na mkuu wao wa nchi pia.

mkuu utajisikiaje na kutoa coment gani hawa vijana.wakijiingiza kwenye ujambazi na ujangiri na hata ugaidi??
na wakakufanyia kitu mbaya utawaita tena karumekenge??.

ikiwa panya rod wasio na mafunzo na vibakaa kadhaa hapa mjini wanalitoa jasho jeshi letu la polisi je itakuwaje kwa hawa vijana wa jkt wenye mafunzo polisi watawaweza kweli??
 
Back
Top Bottom