Amon Mtekateka
JF-Expert Member
- Jun 4, 2014
- 1,225
- 333
SERIKALI YASITISHA MAFUNZO YA JKT | Magazeti ya leo| Tanzania News |Tanzania Today
ebu check hiyo link alaf mniambie wadau
ebu check hiyo link alaf mniambie wadau
duu balaaaaaAAdah thanks kwa kunipa ya uchungu!
asante sana nimekuelewa
Members mwazingua.. Mtu akiuliiza swal ajibie kama alivyouliza na si kumkashifu
Achana nao we km umepangiwa jeshi nenda tu ukamalizane nao kwasabab mpaka sasa nadhani hakuna mtu anayejua athari za kutokwenda so huenda zikawepo au zisiwepo.Members mwazingua.. Mtu akiuliiza swal ajibie kama alivyouliza na si kumkashifu