passioner255
JF-Expert Member
- Apr 22, 2019
- 6,803
- 13,034
Hamnaga kitu kama hicho kwenye kambi za jeshi unafundishwa kupigana na adui tu na kuwa jasiri.Uzalendo ni zao la mambo mengiHivi,uko kwenye developed countries uzalendo hufundishwa kwenye kambi za kijeshi ?
Nauliza tu!
SawaMimi kama mtu mmojawapo niliyepitia mafunzo ya jkt kwa mujibu wa sheria nathibitisha kuwa jkt haikufanyi kuwa mzalendo ila inakufanya kuwa jasiri.
vijana watakao enda jkt watakuwa majasiri na watakuja kusaidia kupambana na majizi yanayoangamiza nchi yetu.
'Uzalendo unajengwa kwa matendo ya viongozi'
Utakuwa mavi na maiti ukijitia uzalendo wakati unaona mijitu inaiba na familia zaoMimi kama mtu mmojawapo niliyepitia mafunzo ya jkt kwa mujibu wa sheria nathibitisha kuwa jkt haikufanyi kuwa mzalendo ila inakufanya kuwa jasiri.
vijana watakao enda jkt watakuwa majasiri na watakuja kusaidia kupambana na majizi yanayoangamiza nchi yetu.
'Uzalendo unajengwa kwa matendo ya viongozi'
Ninafurahi sana hawa Gen Z kwenda kufundishwa ujasiri.Mimi kama mtu mmojawapo niliyepitia mafunzo ya jkt kwa mujibu wa sheria nathibitisha kuwa jkt haikufanyi kuwa mzalendo ila inakufanya kuwa jasiri.
vijana watakao enda jkt watakuwa majasiri na watakuja kusaidia kupambana na majizi yanayoangamiza nchi yetu.
'Uzalendo unajengwa kwa matendo ya viongozi'
SureUzalendo ni kama huu wa baadhi ya Watanganyika tukiongozwa na marehemu Mchungaji Christopher Mtikila na Tundu Lissu kuwa na mapenzi ya kutoka moyoni kwa Tanganyika, kuliko ilivyo kwa hii Tanzania iliyofungamana na Zanzibar (wazee wa muungano wa kinyonyaji wa changu changu, chako changu).
Ndiyo waje wawe majasiri kutetea nchi yao isiharibikeNinafurahi sana hawa Gen Z kwenda kufundishwa ujasiri.
Pia kuna mambo yanaweza kufanyika na uzalendo ukaongezeka.Uzalendo ni hisia mtu anazaliwa nayo
Kupenda nchi yake
Yaani hata mtoto atajua ni Mtanzania na anaipenda TANZANIA tu
Naturally
Katika hili nakupinga mkuu,hakuna ujasiri wowote zaidi ya kushinda mnalima na kuvuna mahindi..Mimi kama mtu mmojawapo niliyepitia mafunzo ya jkt kwa mujibu wa sheria nathibitisha kuwa jkt haikufanyi kuwa mzalendo ila inakufanya kuwa jasiri.
vijana watakao enda jkt watakuwa majasiri na watakuja kusaidia kupambana na majizi yanayoangamiza nchi yetu.
'Uzalendo unajengwa kwa matendo ya viongozi'
Wengine hiyo tarehe 29 walikuwepoKatika hili nakupinga mkuu,hakuna ujasiri wowote zaidi ya kushinda mnalima na kuvuna mahindi..
Mujibu wa sheria imerejeshwa tangu 2013 hesabu mpka mwaka jana ni miaka kumi na Mbili na hao vijana hatukuwaona wakionesha ujasiri wowote mwaka jana 29/10
Na hasa ujasiri wa kuiba Mali ya umma Kama walivyo viongozi wote wa ccmMimi kama mtu mmojawapo niliyepitia mafunzo ya jkt kwa mujibu wa sheria nathibitisha kuwa jkt haikufanyi kuwa mzalendo ila inakufanya kuwa jasiri.
vijana watakao enda jkt watakuwa majasiri na watakuja kusaidia kupambana na majizi yanayoangamiza nchi yetu.
'Uzalendo unajengwa kwa matendo ya viongozi'