JK ziarani Uswisi

JK ziarani Uswisi

Huyu rais wetu inaelekea alivyokuwa mdogo alikuwa anakula sana miguu ya kuku sijawahi ona mtu anaruka na ndege km huyu tulidhani tumepata kumbe tumepatikana.
Huku kwetu mtu anyezurura ovyo tunasema kalambwa miguu na mbwa.
 
Hatomzika Bwanamdogo? (mbunge wa kwao)

New+Picture+(9).bmp
 
Amekaa madarakani miezi 100. Amesafiri mara 359.
 
Duh! Badala ya kupinga kitendo cha Freeman Mbowe kula fedha za ruzuku na Joyce Mukya, nyie mnaandamana katika masuala yasiyo ya msingi

Kaka acha kubwabwaja kana kwamba unaishi namibia mjomba kama wewe mzalendo umeisaidia nini nchi yako na hawa vibaka waliopo madarakani ungewau liza kwanza wao.
 
Mkutano ni wa World Economic Forum. Ni wa muhimu kutangaza nchi. Kagame yuko huko tangu juzi. Kenyatta na Nkurunziza hakualikwa. Museveni sijui.
 
Amewasili Zurich akiambatana na Waziri Maghembe, Mwakyembe na Chiza.

Lengo ni kushiriki mkutano wa World Economic Forum.

Lengo ni kupata posho za safari na tours binafsi zisizo na tija na manufaa kwa Raia! Kwa nini asiende Waziri wa Fedha au Gavana wa BOT, au Waziri wa Mambo ya Nje, au Mkuu wa TRA ambao kwa namna zote mambo ya Uchumi yanawahusu! Huyu JK ni tatizo kwa nchi! Makyembe kaenda kufanya nini ili hali Uchukuzi/transportation kat ya Mwanza Dar kuna tatizo!!! Nyerere hakukosea kukataa viongozi wa aina ya Mkuu huyu wa kaya!
 
.

Ndio maana uchumi wa nchi unakua kwa kasi.Baba yuko busy kuwatafutia maisha bora wanaye. Big up JK.

Nakumbuka maneno yako pale Kigoma. "Ningependa Watanzania wanikumbuke kwa kuwasogeza kutoka hatua moja ya maendeleo kwenda nyingine"....
 
Muda wa miongo yote hiyo aliokuwa mbunge wa Bagamoyo alishindwa kuwaletea maendeleo wakwere wenzie na hata sasa baada ya kukaa madarakani kama Rais kwa miaka kumi bado ndugu zake wako vile vile; hata lile bomba alilowaomba wachina wamjengee la maji toka mto Wami mabomba hayatoi maji!!! Jamaa ni nuksi tu huyu amalize muda wake aondoke!!.
 
He travels all the time. All the time. Dear international community: stop sending Jay Kay invitations to receive honorary degrees, visit obscure Tanzanians Abroad societies, have a fireside chat about securing more aid, toodle around factories, examine the charms of Jamaican treetop tours or whatever else you have in mind. He can't resist them. The man has itchy feet but it is costing us money and we need our President at home. Besides, our poor Minister of Foreign Affairs, Bernard Membe, is languishing in relative boredom and obscurity. Surely he could handle at least two or three of those donor-tickling trips per quarter.
 
Mungu aepushie mbali mjomba akisafiri lazima
Huku nyuma kuwepo janga la kitaifa Kama
Mafuriko ya mvomero unasafiri unaacha raia
Wako wanaelea juu ya maji ??? Hata haikuumi
Ingetokea msoga kweli angesafiri?
 
JK ana moyo kweli kweli, yaani ameamua kuibeba mizigo yake mpaka ughaibuni !!!!!!!!!!
 
Kufuatia Msiba wa Mhe.Said Bwanamdogo,
Katibu wa Bunge anapenda kuwataarifu Waheshimiwa wabunge wote pamoja na Watumishi watakaopenda kushiriki katika Msiba huo utakaoongozwa na Mhe. Rais Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete kuwa, amewaandalia Usafiri kwa ajili ya kwenda Miono, Chalinze na kurejea. Usafiri huo utaondokea katika hospitali ya Muhimbili pamoja na Mwili saa mbili asubuhi. Tafadhali tupigie 0762089225 kwa mawasiliano.

Tunawasilisha kwenu kwa taarifa.
23.01.2014.
 
Maghembe yupo kwenye list ya mawaziri mizigo kama sikosei. mwache na yeye akajipongeze baada ya kupewa chance nyingine.

Mkuu cyo Maghembe pekee yake hata Chiza naye alikuwa mzigo yupo Davos anakula bata!
 
Back
Top Bottom