Duh! Badala ya kupinga kitendo cha Freeman Mbowe kula fedha za ruzuku na Joyce Mukya, nyie mnaandamana katika masuala yasiyo ya msingi
Duh! Badala ya kupinga kitendo cha Freeman Mbowe kula fedha za ruzuku na Joyce Mukya, nyie mnaandamana katika masuala yasiyo ya msingi
Alishawaambia asipoenda kuombaomba nje mtalala na njaa
Mbona pale TMJ hospital sikuhz wanabadili damu?
Mbona pale TMJ hospital sikuhz wanabadili damu?
Nahesabu tu hii ni safari ya 359 na bado mpaka atakapomaliza kipindi chake ni lazima atakuwa injinia wa ndege na karibu atafungua karakana ya kutengenezea ndege.Amewasili Zurich akiambatana na Waziri Maghembe, Mwakyembe na Chiza. Lengo ni kushiriki mkutano wa World Economic Forum.
Mkuu Prof. Muongo alishasema Watanzania hawawezi kuwekeza kwenye gesi kwa sababu mitaji yao ni ya maandazi.Gas imeenda kutafutiwa wawekezaji Tanzania hakuna mwenye mtaji wakuweza kumiliki kitalu na serikal haina hela za kuwakopesha upo apo
Huyu baba asipojua kuendesha ndege atakuwa na kichwa kigumu vibaya sana huyu
Huyu baba asipojua kuendesha ndege atakuwa na kichwa kigumu vibaya sana huyu