JK ziarani Uswisi

JK ziarani Uswisi

Eee Mungu baba tusaidie...

yan jamani umenichekesha wewe mi mbavu sina,uwii ungejua huku kwenye familia yetu tunavomchukia yani haijawah tokea, ila kiukweli umenichekesha mno
 
Amewasili Zurich akiambatana na Waziri Maghembe, Mwakyembe na Chiza. Lengo ni kushiriki mkutano wa World Economic Forum.
Kumbe meambatana na mizigo yake. Atakuwa anamuenzi aliyekuwa waziri wake wa fedha aliyesema "Kila mtu atabeba mzigo wake"
 
Mzee wa kilomita huyo anakata mitaa mbona marais wa nchi nyingine hawaendi anajitungia safari huyu mzee sijui hachoki
 
Mwenyezi mungu ampe umri mrefu maana anwasaidia watanzania sana
 
Amewasili Zurich akiambatana na Waziri Maghembe, Mwakyembe na Chiza.

Lengo ni kushiriki mkutano wa World Economic Forum.

kulikuwa kuna ulazima gani wa yeye kumbatana ktk safari moja na akina maghembe et al kwenda zurich?!.si angeacha wao waende kumwakilisha.kweli jk hana aibu.
 
Mods Mkiondoa kitufe cha like...Na ban pia muondoe kwa muda..

Uzi kama huu. ..dah!! Machungu sana ....Angalau tutukane kidogo


Hatuna Rais tuna mtalii..
 
Mbona chadema kila siku helkopta...hatusemi,mwenye wivu ajinyonge
 
Na mimi mwaka 2015 nagombea urais kupitia DP hata Mtikila akikataa ili agombee yeye nampeleka mahakamani.Nataka niwepo DAVOS 2016.if God wishes
 
mda mzuri wa JESHI KUCHUKUA NCHI, tumechoka
Hakuna sababu ya jeshi, auto pilot yetu inafanya kazi vizuri sana tu. akiwepo na asipokuwepo huwa hakuna tofauti na wakati mwingine ni bora asiwepo kunakuwa shwari zaidi
 
There is no anybody who can play your part in this world and only yourself you can make you to be called. But any way sprity is nearest arround the corner.
 
Mkutano ni wa World Economic Forum. Ni wa muhimu kutangaza nchi. Kagame yuko huko tangu juzi. Kenyatta na Nkurunziza hakualikwa. Museveni sijui.

GDP ya Tanzania inakuzwa na inflation, Figure za kukua kwa uchumi ni nominal figures i.e. zina ignore time value of money na inflation rate, so sio real figures! Reserve kuu BOT inatunza paper money only badala ya kutunza na real value of money in terms of Gold, diamond, Tanzanite and thats why our money value ni weak kwa kukosa back up ya economic power! Viwanda vyetu vinazalisha bidhaa za walaji tu (consumer goods) mfano juice na biscuit badala ya bidhaa za uzalishaji (producer goods) mfano, tractors , power plants machineries! Ulinganifu wa Biashara ya Kimataifa ni mbaya (Unfavourable balance of trade/payment) tuna import zaidi kuliko ku export! Where on Earth are we benefiting from what they are flying abroad for? Hasa hasa Mkuu wetu wa Nchi, mbona hatuoni mabadiliko tangu kaanza kuruka anga kwa anga?
 
Huyu baba asipojua kuendesha ndege atakuwa na kichwa kigumu vibaya sana huyu

umenifanya nicheke mkuu,mzee ameenda kuitangaza nchi, halafu msisahau alikuwa waziri wa mambo ta nje, hivyo alishazoea kukwea pipa
 
GDP ya Tanzania inakuzwa na inflation, Figure za kukua kwa uchumi ni nominal figures i.e. zina ignore time value of money na inflation rate, so sio real figures! Reserve kuu BOT inatunza paper money only badala ya kutunza na real value of money in terms of Gold, diamond, Tanzanite and thats why our money value ni weak kwa kukosa back up ya economic power! Viwanda vyetu vinazalisha bidhaa za walaji tu (consumer goods) mfano juice na biscuit badala ya bidhaa za uzalishaji (producer goods) mfano, tractors , power plants machineries! Ulinganifu wa Biashara ya Kimataifa ni mbaya (Unfavourable balance of trade/payment) tuna import zaidi kuliko ku export! Where on Earth are we benefiting from what they are flying abroad for?

kula LIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIKE mkuu. huu ndio u GT.
 
Waulize wenyewe. Sisi wa kwetu anatutumikia na kutuwakilisha ipasavyo. Kagame hana mafungamano na jumuiya za kimataifa

Mkuu, hebu nikuulize swali. Mara ngapi unashinda nyumbani kwako siku zote nyakati za mchana?

Duh! Badala ya kupinga kitendo cha Freeman Mbowe kula fedha za ruzuku na Joyce Mukya, nyie mnaandamana katika masuala yasiyo ya msingi

Unashangilia upuuzi?

Mkuu, una utani na Dr Slaa wewe

Pole sana. Unaikumbuka Ziara ya Dr slaa marekani?

a.k.a ifweero
Mzigo
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom