JK ziarani Uswisi

JK ziarani Uswisi

Amewasili Zurich akiambatana na Waziri Maghembe, Mwakyembe na Chiza. Lengo ni kushiriki mkutano wa World Economic Forum.
Ni Safari ya 359. Mathematically 359x2(kwenda na kurudi)=718=2years. Kwa hiyo atakua amevunja katiba kwa kutawala miaka 8 badala ya 10
 
Amesafiri tena?Huyu M.k.w.e.r.e wa Msoga sasa amezidi,Khaah!Ndiyo tabu ya kuongozwa na Waswahili!!!!
 
Amesafiri tena?Huyu M.k.w.e.r.e wa Msoga sasa amezidi,Khaah!Ndiyo tabu ya kuongozwa na Waswahili!!!!

Anaenda kuwaambia Mwingulu na Malima wamekua manaibu waziri wa fedha. Pia kutambulisha mawaziri kama Chiza na Magembe ni mizigo kwa taifa.
 
Duh! Badala ya kupinga kitendo cha Freeman Mbowe kula fedha za ruzuku na Joyce Mukya, nyie mnaandamana katika masuala yasiyo ya msingi

Hivi akili yako ina akili kweli? endelea kuwaza kwa makalio! Dunia inasonga mbele wewe unarudi nyuma!
 
Huyu baba asipojua kuendesha ndege atakuwa na kichwa kigumu vibaya sana huyu

......ha ha ha ahaha. Sasa hivi anajua si unaona ana ka airstrip kake pale jirani
 
Daaaaah!Safari ya 359 hiyo!Mungu tuokoe waja wako
na kwa wastani kila safari moja anakaa huko siku 6 kwa hiyo ameongoza inchi akiwa safarini kwa siku 2154 ambazo ni kama miaka mitano hivi tangu aingie madarakani kwahiyo amekaa zaidi safarini kuliko nyumbani kwake Tanzania ! nina hakika angekuwa Marekani au kwingineko wangemtilia shaka huyu utaongozaje ofisi ukiwa nje kwa kipindi kirefu kiasi hiki ! haya ni maajabu kwakweli
 
Bora jeshi lichukue nchi kwa muda,jk nchi imemshinda, kila kukicha safari za nnje,matatizo ya watz atashughulikia lini? Pinda na yeye ni mzigo rais akiwepo na asipo kuwepo hana maana kbs
 
Amewasili Zurich akiambatana na Waziri Maghembe, Mwakyembe na Chiza.

Lengo ni kushiriki mkutano wa World Economic Forum.

Nimesikia jana kwenye chombo kimoja cha habari kuwa kwa kila anayeingia kwenye mkutano wa DAVOS analipa US$ 20,000. Kama hii ni kweli, ujumbe wa Tanzania ukiongozwa na rais wake unagharimu kiasi gani cha dola kwa ajili ya kiingilio pekee achilia mbali gharama nyingine kama nauli, per-diem na mengineyo?.

Kuna umuhimu ama faida gani kwa taifa kwa kuhudhuria mkutano huo ama ndiyo ile kufanya mambo kwa faida binafsi ilhal wananchi wananendelea kuumia kwa ugumu wa maisha na kukosa huduma muhimu na za msingi?
 
awaalike nani hao wahuni?

Wanaohudhuria hawaalikwi ila wanajialika wenyewe kwa kujilipia gharama zote ikiwemo kiingilio kisichopungua US$ 20,000 kwa kichwa. Kimsingi huu mkutano hauna faida yoyote kwa taifa zaidi ya kuongeza gharama na kutapanya fedha za walipa kodi pekee.
 
hii uzi imenikumbusha article niliyosoma juzu juzi tu hapa nahisi ni jumatano kwenye gazeti la Raia Mwema. ilikuwa inazungumzia Diplomasia yetu na hadhi ya Tanzania Kimataifa. huyo balozi mstaafu alierandika hiyo makala alisema kuwa nanukuu, " Rais Kikwete hasafiri sana ukilinganisha na rais wa afrika ya kusini na nigeria. hawa ndo wenye misafara mikubwa na viwango vya posho vya serikali zao ni kubwa kulikko vya tanzania. aidha Rais wetu hamfikii rais paul wa Cameroon ambaye huweza kumaliza mwezi mzima au zaidi nje ya nchi, kwa ziara ziusizo za kikazi. ziara za Rais Kikwete ni za kikazi, katika kutimiza wajibu wake." mwisho wa kunukuu sasa ambacho mi naona hapa tunakosea ni vile tunapoongelea safari za rais then anakuja mtu wa serikalini anasema mbona hata rais flani anazurura kuliko wa kwetu. bila kufahamu huyo mwenzetu yuko mbele yetu.
 
Nimesikia jana kwenye chombo kimoja cha habari kuwa kwa kila anayeingia kwenye mkutano wa DAVOS analipa US$ 20,000. Kama hii ni kweli, ujumbe wa Tanzania ukiongozwa na rais wake unagharimu kiasi gani cha dola kwa ajili ya kiingilio pekee achilia mbali gharama nyingine kama nauli, per-diem na mengineyo?.

Kuna umuhimu ama faida gani kwa taifa kwa kuhudhuria mkutano huo ama ndiyo ile kufanya mambo kwa faida binafsi ilhal wananchi wananendelea kuumia kwa ugumu wa maisha na kukosa huduma muhimu na za msingi?

Ni kweli kabisa. Cha muhimu kujiuliza ni kuwa mkutano huo.una faida gani kwa taifa leti hili masikini
 
fatuma almasi nyangasa (ITV ) ni kati ya waandishi wa habari walioenda nae uswizi, sijui kama atamuacha??????
 
Back
Top Bottom