The Farmer
JF-Expert Member
- Jan 7, 2009
- 1,658
- 557
Ndugu yangu, mimi niko gado. Nasema hivi mkuu, siku za hao watumiaji madaraka vibaya zimekwisha. Lingoma likivuma sana lakatika. Za mwizi arobaini na kabla ya hapo huwa zinafikishwa kwenye 18 za mwenye sura ya kipole, zikitimia tu wooooote watakwenda na maji hapo. Huyo mama ahesabu siku tu.
Unaposema huyo mama ahesabu siku unamaana kuna kitu unafanya ili kuhakikisha unamsambaratisha??? Au ndio unataka kusema mungu atalipa???
Hawezi kuhesabu siku kama swala hili litaishia kujadiliwa huma JF na kukaa kimya tu!!!