JK umesikia haya ya Machangu DC wa Nzega na Resolute T LTD Nzega ?

Ndugu yangu, mimi niko gado. Nasema hivi mkuu, siku za hao watumiaji madaraka vibaya zimekwisha. Lingoma likivuma sana lakatika. Za mwizi arobaini na kabla ya hapo huwa zinafikishwa kwenye 18 za mwenye sura ya kipole, zikitimia tu wooooote watakwenda na maji hapo. Huyo mama ahesabu siku tu.

Unaposema huyo mama ahesabu siku unamaana kuna kitu unafanya ili kuhakikisha unamsambaratisha??? Au ndio unataka kusema mungu atalipa???

Hawezi kuhesabu siku kama swala hili litaishia kujadiliwa huma JF na kukaa kimya tu!!!
 
The Farmer!

Tafadhali ukiambiwa kitu na wakubwa wako unatakiwa ukubali. Ubishi hapa hautakusaidia wewe wala wanaosoma hapa Jamiiforums period!

Lunyungu hatuwezi kumsaidia kwa sababu mfumo umemkataa pale!!

Narudia wale wazungu wa Australia walisha hama ila sisi kwa uzumbukuku tutaendelea kubishana mpaka asubuhi. Mambo yote ni mdundo tu kuanzia Kempinski hadi Mwadui na GENERAL TIRE EA ltd washenzi wanatuibia kwa jina la wawekezaji!!! Tulipowaambia kwamba TICTS haikuwa kampuni ya Malyesia hamkukukbali hivyo hivyo IPTL na kuendelea hata hiyo kampuni ya RITES inayosadikiwa kumiliki hisa za TRL nayo hewa watu wa TZ bwana LABDA nichukue wembe kila anayebisha nimkate chale mbili usoni!!

Mwisho Lunyungu nakushauri utafute bishara nyingine hiyo hapo Resolute imedunda kichizi!!!Take it from me watu wa CCM can only see green hata kama kuna ukame wa kutisha!!!

Hivi nia yako ni nini...wewe ni nani kuelekeza watu nini cha kufikiri na nini cha kusaidia wengine....?Kwanini unakataza watu wasibishane?Kwanini unafikiri kwa watu walikataa yale ya mwanzo basi hili la Resolute hawawezi...Hili linawezekana...kabisa....miaka minne iliyo pita resolute ilikuwa inaongoza katika migodi kuwa na Expart...walifikia 70 katika waajiriwa wa kibongo 344.Lakini Idadi hiyo ilipigiwa kelele na watu kama Luyungu wakashuka Uhamiaji hapo walipunguza na kubaki 25 tu.

Na hili linawezekana...wacha tujadili wakti tunatafuta suluhu unafikiri watu wamekaa tu....wewe unasema watu waheshimu wakubwa...nani wewe?
 
mkuu lunyungu,
napenda kukupa pole kwa yoote yalio tokea,lakini mkuu,mbona hapa sioni koneksheni ya matukio na malalamiko yako?naona kuna kaaina flani tu ka wivu?au kwakua unaongozwa na mwanamke katika idara ukaona namna gani?au kwakua huyo mama yuko karibu na huyo mama mkulu wa wilaya?lunyungu,hapa jf na pahala sacred kiasi chake na sio kijiwe cha umbea,ufitini,na kuchafuana,kwanini usiende kule kwenye kiu na ijumaa?naamini ndo mahala pake other wise mods hamisheni hii pelekeni kule kwenye tetesi,sie hapa tuachieni isue nzito za kitaifa,kuliko hizi personal dfferences za huyu jamaa na hawa kina mama,
naamini umenielewa na usiichukulie personal,
 
Buswelu!

Naona umepandisha munkari kwa sababu nimesema watu wa CCM wanaweza kuona rangi ya kijani tuu hata kama nyasi zimekauka!! Nimegusa ikulu nini?

Hapa jamiiforums kuna watu wa rika na elimu tofauti kabisa!! Nilichokuwa nawasihi ni kutokupoteza muda kubishana na kitu kilicho wazi kama usiku na mchana.

Kwa kuwa wewe huna shughuli ya kufanya mtu akijitolea kukushauri kitu ambacho hukijui mtu mwenye busara hukaa kimya. Lakini mtu ambae hajui kwamba hajui kitu fulani na hataki kujua basi huyo huitwa mpumbavu huwezi kumwelimisha period!

Kwa hiyo endeleeni kubishana mpaka asubuhi lakini ukweli unabakia ukweli!

Endelea kuomba ajira wakati wajanja wanabeba dhahabu kwa ndege na kuwaachia mashimo huku mkihubiri amani na utulivu tunataka Watanzania wamiliki migodi na sio ajira ambazo hata mishahara yenyewe mbuzi!!!
 
mkuu lunyungu,
napenda kukupa pole kwa yoote yalio tokea,lakini mkuu,mbona hapa sioni koneksheni ya matukio na malalamiko yako?naona kuna kaaina flani tu ka wivu?au kwakua unaongozwa na mwanamke katika idara ukaona namna gani?au kwakua huyo mama yuko karibu na huyo mama mkulu wa wilaya?lunyungu,hapa jf na pahala sacred kiasi chake na sio kijiwe cha umbea,ufitini,na kuchafuana,kwanini usiende kule kwenye kiu na ijumaa?naamini ndo mahala pake other wise mods hamisheni hii pelekeni kule kwenye tetesi,sie hapa tuachieni isue nzito za kitaifa,kuliko hizi personal dfferences za huyu jamaa na hawa kina mama,
naamini umenielewa na usiichukulie personal,

Lione
nadhani kabla hujasema uwe unawaza , mawazo hovyo hovyo haya ya kutetea ufisadi hapa si mahali pake .Unatoa matusi na kuamuru who are you ? Lione please kwanza soma uelewe .Mimi Lunyungu Cleaophas Mademla wa Matandula si mwajiriwa wa huko kwa hao mafisadi mimi kazi yangu ni kuibua yaliyo jiri kule na yanajulikana .
Usije kichwa kichwa hii habari Pinda anaijua maana kesha deal nayo , PCCB mkoa na Polisi wanaijua vyema .Hii si hadithi ni jambo linagusa maisha ya mtu.Watch out kijana na soma kwanza kabla hujawa kama umekunywa maji ya ****** .Huu ni ukweli na ukweli mtupu .Nenda kwanza Nzega kapate ukweli then uje hapa .
Ujinga wako wa aina haumsaidii Rais wala CCM yenu mnajimaliza maana hasira za watu zinarindikana na kuna siku zitatoka.
 
Sasa mbona lunyungu unaji-contradict mwenyewe?? wewe mwamzo umesema uliondolewa kazini kwa sababu mama Mariam alikuwa hakutaki. Sasa tumaomba mwongozo wana JF tukusaidiaje??? kwani unataka kurudi kazini???
 
Mkuu Farmer thanks mkubwa
Hii ngoma nimeikamata hewani kwa wakubwa ikiwa ina sua sua nikajua longo logo na ndipo nika imwaga hapa penye ukweli na wao wanapajua .Ni kazi yetu JF kutafuta mambo ya aina na kuhabarishana na mwisho wa siku mamlaka huwa zina act .Hii imemshinda Mkuu Pinda ndiyo maana wakati naileta nikasema JK anayajua haya ?Ili aamue mwenyewe kwa kuwa watu wanateseka na kazi wanafukuzwa kwa kusingiziwa na Mvura is plotting kumuondoa dada mmoja pale kwa sasa kias aliwekwa ndani na sasa anadai alichongewa na huyo dada kwa kumtetea mwenzao aliye ondolewa pale .Zogo kubwa na MKuu wa Wilaya kama kawaida anaweza kuwa part of the game .
 
Kama nimekuelewa vyema wewe si mhusika kamili wa issue nzima..umeikuta pahala ukaibuka nayo na kuwasha moto JF...Good
 
Sasa mbona lunyungu unaji-contradict mwenyewe?? wewe mwamzo umesema uliondolewa kazini kwa sababu mama Mariam alikuwa hakutaki. Sasa tumaomba mwongozo wana JF tukusaidiaje??? kwani unataka kurudi kazini???
Kama nimemwelewa vema Lunyungu, yeye ameidaka hii habari na kuamua kutubaharisha hapa... yeye wala si mhusika katika sakata hili, ni mjumbe tu wa kuleta hii habari
 
Ile issue tuliyoongea kuhusu PCCB.

Hatujui ilipoishia ila aliwekewa dhamana na akatoka hadi leo hatujasikia kesi ... na anaendelea na mambo yake kama kawaida ila kaanza fitina mgodi mzima kwamba kuna dada mmoja wanafanya naye kazi ndiye aliyemshitaki polisi ama kumtaja huko polisi lakini yeye ana uwezo na pia yeye anafahamiana na wakubwa hivyo hapatakuwa na kesi.
Pole kwa Lunyungu kwa uwakilishi. hii issue ni very serious, naomba isiishie hapa JF tuu, ipige kwenye mitundiko ya magazetini ili mkulu aione zaidi akijua na wananchi wameona na wanajua ili kama wasipotenda, aibu wataipata na harufu ya uvundo wa maozaoza yao, yatawafanya wanuke kila watakapopita.
 
Mimi nimeidaka nakuileta mahakamani , mimi si victim ila nilijua hapa JF ujumbe utafika na haki kwa watanzania wenzetu itatendeka .JK ajue hawa ndiyo wafalme wenzake alio wateua , yeye anapigana na vuta ya rushwa kama kweli anapigana nayo lakini wafalme wenzake wana wahi chao mapema kwa gharama za kuharibu maisha ya wengine.Kijana kachishwa kazi baada kuonekana hana kosa lakini Mvura akavimba akasema she cannot share the office him.Sasa baada ya wizi wa juzi kaanza zengwe na kwa kuwa Mkuu anapokea maelekezo toka kwa DC tunamulika kwa umakini mkubwa kuona kama aliyebakia ataondolewa kwa kuwa Mvura na ukoo wake wa utawala wanataka hilo. Tunamulika sisi .
 
Hapa Wilayani sisi tunafanya kazi na boss huyu tunayajua mengi sana.Pamoja na kushiriki matukio kama haya lakini yeye ni kama Mkurugenzi wa Mgodi .Tunajiuliza nguvu hizi anazipata wapi , lakini inawezekana analinda interest za Mzee JK si kawaida hii .

Huyu Mama amepewa gari la kampuni tunaona hivi hivi na mgodi ukajidai kwamba umetoa kwa ngo , leo njoeni hapa Nzega muulize NGO ipi imepewa Nissan Pathfinder .Ghorofa anajengewa Resolute kule Dari salama , alisha wahi kupewa pesa za kufanya semina huko kwako Moshi je hamkusoma habari ya kuhalalisha mgodi na dhuluma zao ?
Mimi niko naye hapa huyu mama hana tofauti na mfanya kazi wa mgodini maana ni boss wangu huyu DC lakini safari zote za Dar ticket ya ndege inatoka mgodini .
Nauliza ndugu rais huyu mama ni DC kweli ama kuna kazi ya pili na yeye ni mhangaikaji kama sisi ?
Uchafu wa mgodi ni mkubwa sana hapa ndugu zanguni na Rais anajua maana hata kufanya rishafo yeye hakuguswa na tulitegemea kwa visanga vyake aondolewe hapa lakini wapi anapeta tu .
 
Wewe ni mafanyakazi wa Resolute? Kama ni mfanyakazi wa Resolute tunakuomba uielezee vizuru hii story ya Lunyungu, kwa kuwa yeye mwenyewe (lunyungu) anaji-contradict. Tunahitaji kumsaidia lakini bado hajaeleza anahitaji nini kutoka kwetu.

ishu ya DC kutembea na mzungu wa Resolute naona kama ni irrelevant kabisa. yeye DC anahaki ya kutembea na mtu yeyote yulea amtakae!!!
 
Mimi nimeidaka nakuileta mahakamani , mimi si victim ila nilijua hapa JF ujumbe utafika na haki kwa watanzania wenzetu itatendeka .JK ajue hawa ndiyo wafalme wenzake alio wateua , yeye anapigana na vuta ya rushwa kama kweli anapigana nayo lakini wafalme wenzake wana wahi chao mapema kwa gharama za kuharibu maisha ya wengine.Kijana kachishwa kazi baada kuonekana hana kosa lakini Mvura akavimba akasema she cannot share the office him.Sasa baada ya wizi wa juzi kaanza zengwe na kwa kuwa Mkuu anapokea maelekezo toka kwa DC tunamulika kwa umakini mkubwa kuona kama aliyebakia ataondolewa kwa kuwa Mvura na ukoo wake wa utawala wanataka hilo. Tunamulika sisi .

Lunyungu usime mwoga namna hiyo, wewe umesema umeachishwa kazi, sasa hivi unasema sio wewe sasa sisi tukueleweje??? mimi naona huna jipya tunapoteza muda wetu bure kujadili ishu yako wakati wewe mwenyewe hueleweki.

mods tunaomba m-close hii thread haina maana yoyote hapa ndani ya JF.
 
Farmer
Maelezo yaliyo wekwa hapa na Lunyungu ni kweli tu na yes mimi niko hapa .Mama Mvura ni shida kubwa sana hapa kazini .Nadhani she is always acting with stupidity na maisha ya u single maana hatuelewi akili aliyo nayo.Kama mnaweza kusaidia ni muhimu mkasaidia kwa kuwa huyu na DC walileta shida kubwa sana na bado Mvura anaendelea kuchokonoa na kutaka watu wa Dept yake waondolewe akiwa tuhumu mambo mbali mbali .Anacho kifanya ni kmtumia DC kusema na mkulu hapa na move za ubaya zina anza .
Tunaombeni msaada resolute tuna nyanyasika .Waandishi njoeni mtuone tuwape habari tuko tayari kufa kwa kusema ukweli .
 
Mkuu meseji nzito. Tatizo ni jinsi mlivyoiwasilisha awali.

Msisitize sana huyu DC kutembea na Mzungu. Ilitakiwa iwe mentioned tu.

Wenye mamlaka wamepata ujumbe.

The Farmer, Lunyungu sio mfanyakazi wa Resolute, ninamfahamu, ila alitumika kama kiwakilishi.

Sio mbaya msg delivered
 
Mkuu Lunyungu,
Nadhani UWT wanaokesha kuchungulia hapa kama chungu cha maharage watakuwa wamemfikishia salamu mjomba kuwa habari ndio hiyo iko jamvini
 
Lunyungu unapoteza muda wewe .Ulikuwa hujui kwamba Machangu yuko katika mwendelezo ule ule kama wa akina Karamagi ? Wanafanya haya kwa kuwa kuna baraka za mkubwa .
 
Jamani nani ana habari kama JK amesha fanya lolote kuhusiana na hili la Nzega ?
 
Lunyungu;

Issue imekuwa ni nzito. Kumbe mama ni chakula ya wazee huku juu.

Anyway...habari ndo hiyo
 
Back
Top Bottom